Shule ya Yowomi

Shule ya Yowomi

Share

Yowomi Girls School is a boarding and fenced school, center for all secondary school candidates incl

25/11/2019

Shule yako pendwa, itafunguliwa 04/1/2020. piga

25/11/2019

Tunapenda kuwataarifu wana YOWOMI GIRLS SCHOOL WOTE kuwa page mpya itafunguliwa ya shule, yenye jina litakalosomeka YOWOMI GIRLS SCHOOL. Tunatanguliza shukurani zetu.

09/11/2019

yowomi girls school. kuanzia 4/1/2019 karibuni

20/10/2019

Pata ufadhili wa asilimia 40 wa ada kutoka kwa wafadhili, ukisoma Yowomi.

16/10/2019

Mtoto wa k**e anachangamoto nyingi, k**a mimba, ugumu wa maisha, vishawishi nk. Kwa kuona hilo. YOUTH WORLD MISSION inafadhili asilimia 40% ya ada.

16/10/2019

Dunia inakwenda kwa kasi mno kuliko tunavyofiria. Hivyo tumekuja na mfumo was kumuwezesha mwanafunzi kujitegemea Mara tu amalizapo masomo take ya sekondari kwa kumpa mafunzo ya vitendo katika ufundi na ujasiria Mali. Make youth productive in the society.

15/10/2019

Soma kwa kulipia Ada 1,730,000/= kwa mwaka, na Pesa iliyobaki utalipiwa na Wafadhili (Yowomi Girls School) jumla ya milion 3.

09/10/2019

Uongozi wa shule, unaheshimu sana wote mliotuma maombi kwa email yetu. [email protected]

09/10/2019

Shule yetu inajali afya sana, ndio maana kuna milo 4 kwa siku.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Mbagala-kongowe
Dar Es Salaam
15118