Dalili namba moja kuwa umekomaa kiakili na kihisia ni kukubali mumeo akufundishe mambo anataka ufanye. Ubishi ni dalili ya upumbavu na ujinga.
schoolplaygroundfacilities
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from schoolplaygroundfacilities, Education, Sam Nijoma Road, Opposite Mlimani City Mall, Dar es Salaam.
We are selling school equipment direct from China, playgrounds, swimming pools, baby games, toys, table and chairs of high quality that we supply in Europe as well
4. Mfungo Sahihi (Medically Approved Fasting)
Mfungo sahihi ni mfungo wowote unaofuata masharti ya afya ya mwili wako. Sababu kuu ikwa ni MWILI NI HEKALU LA ROHO YA MUNGU kwahiyo fanya yote lakini hautakiwi kwa namna yoyote ile kuusababishia magonjwa, madhara ya kiafya sababu ya ujinga wako wa kutokujua mambo ya msingi.
Kabla hujaanza kufunga lazima ujue kuwa mwili wako ni UDONGO 100% na kwa mantiki hiyo hutakiwi kwa namna yoyote kuuacha bila MAJI ambayo huchukua zaidi ya asilimia 75% mwilini. Hakuna mfungo unaitwa KAVU. Wala hakunaga mfungo wa kuacha s*x na mkeo au kuacha kunywa beer hizo zote ni sarakasi tu.
Neno FASTING maana yake ni zoezi la mtu kuacha kula chakula kwa kipindi fulani cha muda, huenda yakawa masaa 4, 6, 10, 12 au 24 yaani siku nzima. Mfungo wa masaa 12 huitwa mfungo wa kutwa na mfungo wa masaa 24 huitwa siku nzima. Mfungo sahihi wowote lazima iwe na muonekano huu; mtu akiacha kula chakula huku akabaki akitumia maji tu huyu ndiye mtu aliyefunga kula.
Kuna maneno huchanganya watu hasa pale wanaposikia “wakafunga kwa siku tatu bila kula wala kunywa” Esther 4:16 Uende ukawakusanye Wayahudi wote waliopo hapa Shushani, mkafunge kwa ajili yangu; msile wala kunywa muda wa siku tatu, usiku wala mchana” Ni muhimu sana kwanza kujua utaratibu wa maisha ya hawa watu unao wasoma kabla hujakimbilia kudhani wakisema usinywe humaanisha MAJI.
Soma tena mahali hapa ili upate uelewa Zaidi. MATHAYO 11:18 “Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, Yuna pepo. 19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.” Je umeona kitu hapo cha kukusaidia?? Kunywa mvinyo (POMBE) ni utamaduni wa WAISRAEL WOTE tena ni jambo la kawaida sana ndiyo maana usipokunywa unaonekana una mapepo wewe.
Sasa Yohana Mbatizaji yeye alikatazwa tokea utoto wake kutokugusa kamwe ulabu hata wa kuonja kabisa ndiyo maana wakasema ana mapepo huyu. Lakini Yesu yeye alipokuja wala hakuwa hata anajificha kunywa. Sasa ukisikia wanasema MSILE WALA KUNYWA elewa sio maji yanatajwa hapo ni POMBE. Kwahiyo mfungo wa kweli NI LAZIMA UNYWE MAJI ili kusafisha taka tumbo
USAFI WA KINYWA NI MUHIMU ZAIDI YA USO WAKO.
K**a kingereza ni tatizo tafuta mkalimani akusaidie hii ni muhimu sana isikupite. Hypothetically speaking
18/01/2026
Karibuni sana bei rafiki kwa kila mteja anaehitaji viti hivi na meza kwa ajili level zote za wanafunzi. Watoto wa day care hadi chuo.
Wasiliana nasi kwa namba 0754451325 tutakusaidia kulingana na ukubwa ya order yako. Karibu Sana, Karibu wote.
We help children who have delayed walking or standing up to stand and walk smoothly.
TikTok Mamaz very boring.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Sam Nijoma Road, Opposite Mlimani City Mall
Dar Es Salaam
00255