01/04/2021
Karibuni katika Ibada ya Ijumaa Kuu, SAA 4:00 Asubuhi.
Kutakuwepo KUABUDU & KUSIFU, ikiongozwa na CCC Praise and Worship Team.
CCC Huduma Choir WATAKUWEPO kwa Nyimbo zao Maalum. Pia, CCC Women (WWK) Special Choir WATAIMBA.
Ibada nzima itakuwa Mubashara kwenye fb na instagram. Karibuni Nyote!
07/02/2021
25/01/2021