Tanzilulquraan madrasa
Taarifa za shughuli na matukio ambayo yatakuwa yana husu madrasa yetu
20/06/2024
Asalam alaykum siku ya juma mosi sawa na trh 22 mwez 6 muduru wa Tanzilulquraan madrasa Ana kamilisha nusu ya dini tuku tane mbalagala annex kuja kushuhudia burdani
Vijana kazini
16/10/2023
Alhmdulillah jambo lime pita salama shukran wote mlio hudhuria na kushirikiana nasi tuku tane mwakani inshallah
07/10/2023
Juma mosi hii ni siku kubwa sana kwetu usipange kukosa hii si ya kukosa kabisa burdani kubwa itakuwepo
06/10/2023
Usipange kukosa
05/10/2023
Hii si ya kukosa siku ya tarehe 14 mwez 10 mwaka 2023 mtume ataswaliwa na burdani itapatikana hii so ya kukosa
Kazinzur toka kwa vijana walio hama toka makkah kwenda madina
Safar ya mtume kuhama toka makkah kwenda madina
Kuhama sunna hata mtume na maswahaba walihama
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Masaki Street
Dar Es Salaam