Arizona Vocational Training Centre

Arizona Vocational Training Centre

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Arizona Vocational Training Centre, Education, Mikocheni A, Dar es Salaam.

Arizona VTC ni chuo kilichosajiliwa na VETA kutoa mafunzo ya ushonaji,usindikaji vyakula ,utengenezaji wa bidhaa za usafi,ngozi na nywele pamoja na kozi nyinginezo nyingi ikiwemo ujasiriamali kwa ujumla.Tunatoa kozi za muda mfupi na za muda mrefu

12/04/2026

Stylish. Comfortable. Affordable.
Everything you want for your child..in one outfit.

Shop Jolly Juniors today..

WHOLESALE & RETAIL

05/04/2026

🎉🎉

10/03/2026

KARIBU CHUO CHA UFUNDI ARIZONA

Mafunzo kwa vitendo! jisajili 0742466965

11/02/2026

Mafunzo ya ufundi na vipodozi Arizona

Jisajili sasa: 0742466965

19/01/2026

KARIBUNI SANA .

Chuo cha Arizona kipo Mikocheni A, opp Tanesco kituo bi Chama. Barabarani kabisa. Au tupigie 0742466965

05/01/2026

HAPPY NEW YEAR 🎉🎉🎉

CHUO KIMEFUNGULIWA, TUNAPOKEA WANAFUNZI.

WASILIANA NASI : 0742466965

12/12/2025

ARIZONA MAFUNZO KWA VITENDO!

09/12/2025

Ujuzi na maarifa yanapatikana Arizona. Mafunzo kwa vitendo!

01/12/2025

MAARIFA NA UJUZI NI UFUNGUO WA MAISHA

24/11/2025

Wiki mpya! mambo mapya kutoka Arizona!

KWA TSH 100,000 Tu! Utajiunga na kozi ya kutengeneza vipodozi. Hii ni ofa maalum ya mwisho wa mwaka. K**a ilivyo utamaduni wetu kila mwisho wa mwaka lazima tukuzawadie na safari hii zawadi yetu kwako ni hii FURSA!

USIKOSE, USIACHE IKAKUPITA!
JISAJILI SASA: 0742466965

KOZI ZITAANZA RASMI TAREHE 1/12/2025

WAHITIMU WOTE WATAPATIWA VYETI!

Photos from Arizona Vocational Training Centre's post 20/11/2025

UJUZI NI TIBA.

Katika dunia yenye msongo, presha na kutoridhika, vijana wengi wanakabiliana na changamoto za afya ya akili. Lakini kitu kimoja kimeonekana kuwa tiba yenye nguvu: kujifunza ujuzi mpya.

Kujifunza ujuzi kunasaidia:
• Kuongeza kujiamini
• Kupunguza msongo wa mawazo
• Kukupa mwelekeo na tumaini jipya
• Kukuunganisha na watu wengine wenye malengo k**a yako
• Kukupa nafasi ya kujieleza, kuunda, na kuamini uwezo wako

Kila ujuzi unaojifunza ..iwe ni ufundi, ubunifu, entrepreneurship au digital skills ..unakuwa ngazi ya kukutoa sehemu moja kwenda nyingine.

Wekeza kwenye ujuzi wako. Utaona mabadiliko kwenye akili, moyo na maisha yako.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Mikocheni A
Dar Es Salaam