Kwanini sikuwambia k**a ni challenge? Sikuwambia sababu wangejipanga kila mtu angesuka sababu ni shindano
Nilitaka nione umakini wao wanapopewa kazi lakini pia endapo yeyote kati yao atapata mteja na kumuonyesha picha nataka kusuka k**a ivi je wataweza!?
Haya twende kazi LIKE, SHARE, COMMENT πππ
BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA, JIUNGE NASI SASA!!
0715 772 091
Malaika Beauty College
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Malaika Beauty College, College & University, Tabata Segerea, Mangumi, Dar es Salaam.
MALAIKA BEAUTY COLLEGE NI CHUO CHA UREMBO NA USUSI, TUNATOA MAFUNZO MBALIMBALI YA KUSUKA NYWELE AINA ZOTE, KUPAMBA MAHARUSI PAMOJA NA SHUGHURI MBALIMBALI ZA SALON
0715772091 TUPO TABATA SEGEREA KITUO MANGUMI
Aya kazi kwenu wapiga kura
Unachotakiwa kufanya ni kulike, kushare na kucomment
Mshidi atatangazwa hapa hapa Instagram
Na ukiwa interested zaidi tunakukaribisha hapa kwa mafunzo ya uhakika.
Elimu bora Ajira njenje!!
Asubuhi ni mda wa kujifunza kwa nadharia, ili tupate kuielewa zaidi biashara hii ya urembo na tuweze kuifanya kwa faida sio hasara
Jamani Malaika Beauty College ndio chuo pekee kinachowafundisha wanafunzi wake kwa Nadharia na vitendo, na ndio chuo pekee kinachotafutia Ajira wanafunzi pindi tu wanapomaliza
Karibu ujiunge nasi kwa mafunzo Bora na uhakika wa Ajira
Karibu Malaika Beauty College kwa mafunzo ya uhakika
HATUKUFUNDISHI KUSUKA TU, AU KUFANYA MAKEUP TU
TUNAKUANDAA KUWA MSIMAMIZI BORA WA BIASHARA,
TUNAKUANDAA KUFANYA UREMBO K**A BIASHARA KAMILI YA KUKUNUFAISHA.
NA SEHEMU NI MOJA TU DAR ES SALAAM NA MOROGORO
JIUNGE NASI LEO KWAMAANA NAFASI NI CHACHE MNO!
1.6.2026
Muhura Mpya Unaanza
Karibu Malaika Beauty College Dar es Salaam na Morogoro kwa mafunzo ya uhakika
Tunafundisha kwa vitendo asilimia 90% na nadharia kidogo
Fomu ya kujiunga na chuo shilingi 10,000
0715 772 091
Hii ni ofa kwa wahitimu wa kidato cha sita na yeyote atakaye jiunga kwenye msimu huu, utalipa ada ya 200,000 tu kwa kozi yote ya Ususi na Urembo.
Karibu Malaika Beauty College
π Dar es Salaam & Morogoro
Tunatoa mafunzo ya: β Makeup
β Eyelashes
β Nail Art
β Hair Dressing
β Skincare
β Salon Professional Skills
na mengine mengiβ¦
π― Practical zaidi
π― Walimu wenye uzoefu
π― Ada nafuu
π― Mwanzo wa mafanikio yako
Usikubali mwaka uishe bila skill!
π Wasiliana nasi sasa na nafasi yako ianze leo.
Bea
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Tabata Segerea, Mangumi
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 15:30 |