18/03/2023
⚠️Kuna maamuzi ya aina 3 kwenye Biashara yoyote ⚠️
1..Kuamua kuanza Biashara.. (80%)
2..kuamua Kufanya Biashara..(18%)
3..Kuamua Kukomaa na Biashara.. (2%)
Hizo asilimia(%) kwenye maamuzi ni idadi ya watu... watu wengi wanaanzaga biashara ila hawapo tayari kufanya biashara(namaanisha hawataki kufanya biashara inavyotakiwa ifanyike wanataka wafanye wanavyojua wao na wengi wanafeli ndio maana wanaofanya biashara ni wachache......., na wanao amua kukomaa na biashara ni wachache maana hawaridhiki na kidogo wanachokipata kwenye biashara na ndio wanaofanikiwa kwenye biashara..
So ukianza biashara,ifanye biashara na usiishie hapo komaa nayo😄🤝 ..kujifunza biashara whatsapp 0653993171
MONEY HOME TEAM✅
23/02/2023
Kuna RAFIKI yangu mmoja kaniambia
"Kuishi chumba kimoja raha sana 😃🤭 et ukiamka asubuhi unaona vitu vyako vyote😃🤭"
Je ,Unakubaliana na usemi huu ?😃🤭
MONEY HOME TEAM✅
Kujifunza biashara ni bure karibu whatapp 0653993171
14/02/2023
Dunia ya sasa inakanuni Moja ambayo wengi hatui elewi😃🤭 ila Elezwa na mwandishi mmoja wa Kitabu Ambaye yuko kwenye Top 10 ya matajiri wakubwa Duniani kua👇
*"Dunia ya sasa Hairuhusu upate kile Unachokitaka, Huruhusu Upate kile Unachostahili"*
Kuna vitu unavitaka kimaisha ila haujajiandaa Vikija ukavitunza ndio maana kuna watu wanashida hata bahati nasibu milioni nyingi ila kwakua hakujiandaa nazo na hakustahili kua nazo kwa wakati huo ukimtafuta baada ya miezi 12 unaweza kukuta Amechoka kuliko/kabla hata kupata zile hela za bahati nasibu ...Unachokipata kwa sasa Usimlalamikie mtu wala mungu ndicho unachostahili kwa sasa uKibadilika na kustahili Vikubwa Utapa Vikubwa Zaidi🤭🤝
*Nitafute kwenye picha hapo juu uniambie nimevaaje wakati nikiserebuka na Wafanya biashara wenzangu😃🤭......... LETS NOT FORGET TO KEEP BRING MORE MONEY HOME*
Kujifunza biashara ni bure whatsapp 0653993171
27/01/2023
Dont be Afraid to fail
Be afraid not to try
"Usiogope kushindwa/kuanguka
Ogopa kuacha kujaribu"
MONEY HOME TEAM✅
Kujifunza Biashara whatsapp 0653993171