Goodlife daycare & kindergarten

Goodlife daycare & kindergarten

Share

GOODLIFE DAYCARE & KINDERGARTEN TUNAPOKEA WATOTO WENYE UMRI KUANZIA MWAKA 1 MPAKA 6,MAZINGIRA YETU NI

27/01/2026

πŸ“šβœ¨ Tunajivunia matokeo bora ya malezi na elimu bora kwa watoto wetu.
GoodLife Daycare & Kindergarten ni zaidi ya shule β€” ni mahali ambapo ndoto za watoto huanza na kukua kwa msingi imara wa maarifa na maadili.
πŸ“ Msongola Kitonga, karibu na Kituo cha Mabasi Efatha
πŸ“ž +255 783 075 401
🌱 β€œTunalea kwa upendo, tunajenga msingi wa mafanikio.”





WatotoNiTaaluma
FutureLeaders

26/01/2026

Unatafuta daycare yenye upendo, usalama na uangalizi wa karibu? 🧸
GoodLife Daycare & Kindergarten ni chaguo sahihi kwa mtoto wako πŸ’š
πŸ‘‰ Nasi tunajali k**a mzazi.

05/12/2025

Hawa watu wanatukaba pale yangasc na yule boyeli na dube wake huduma zao hata hapa Tanzania zipo inshort they have to think twice other wise jagwani is not belong to them.

Photos from Goodlife daycare & kindergarten's post 27/12/2023

Goodlife daycare & kindergarten iliyopo Kitonga Msongola Ilala Dar es salaam inatafuta Walimu wa k**e wenye uwezo na uzoefu wa kufundisha shule ya awali na wenye sifa zifuatazo

i) Uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya kiingeleza kwa ufasaha

ii)Awe na upendo na watoto na uwezo wa kulea watoto

iii)Mwenye uzoefu usio Pungua miaka miwili(2)

IV)Msafi na mchapa kazi

V)Mwenye hofu na Mungu

Maombi yote ya tumwe kupitia Whatapp number +255672622298
Mwisho wa kupokea maombi ni Tar 05/01/2024.

14/10/2022

Je unatafuta sehem salama na sahihi kwa malezi bora ya mtoto wako ...??Kwa wakazi wa chamanzi, Msongala,mwembeni,kitonga ,mvuti ,chanika mwisho karibu πŸšΈπŸ‘¨β€πŸ«πŸ” πŸˆπŸŽ’goodlifedaycare & kindergarten

☎️0712851554/0672622298

14/10/2022

Happy birthday Alfa

27/09/2022
27/09/2022

πŸšΈπŸ‘©β€πŸ«πŸ‘¨β€πŸ«Kwanini tunasema Goodlife daycare & kindergarten ni sehem sahihi kwa malezi bora ya mtoto wako..??
πŸ” πŸ§ΈπŸˆJibu ni rahisi sana.. ni kwa sababu tupo na mazingira bora na salama kwa ajiri ya mtoto kucheza,kusoma na kujifunza pia tupo na walim wenye uzoefu wa kufundishq na kulea watoto
Huduma zetu ni nafuu sana karibu tukuhudumie

🚌🚐Pia tupo na usafiri wa huwakika kwa watoto wanaotoka mbali na shule

πŸŽ’πŸšΈTupo kitonga Msongala karibu na kitu cha mabus efatha

☎️0712851554/0672622298

& kindergarten
of perfect care

21/09/2022

πŸšΈπŸŽ’πŸ‘©β€πŸ«πŸˆGoodlife daycare & kindergarten πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ‘¨β€πŸ«πŸ§Έ Tunapokea watoto Umri kuanzia Mwaka mmoja na nusu mpaka miaka 6
🚐🚌🚸 Tupo na usafiri wa huwakika kwa watoto wanaotoka mbali na eneo la shule

πŸ‘¨β€πŸ«πŸ‘©β€πŸ«πŸšΈ Walim wenye weledi na uzoefu wa kutosha.

πŸ…πŸšΈπŸ§ΈπŸŽ’ πŸ‘¨β€πŸ«Tupo na mazingira mazuri kwa malezi na makuzi ya watoto na pia ada zetu ni nafuu sana na karibu na bule
πŸ‘¨β€πŸ«πŸŽ’πŸ…πŸš©πŸŒ Tupo kitonga Msongala karibu na kituo cha mabus efatha

☎️0672622298/0712851554

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Kitonga Msongola, Ilala
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 04:00