28/06/2022
K**a huwa unachapa hata akiwa period , basi unajiweka kwenye nafasi ngumu sana ya kiafya . Mwanaume jitahidi usimtumie huyo mama akiwa kipindi hicho cha period , kuna madhara mengi sana kwako na mojawapo ni kuziba mirija ya mkojo.
Nitakuletea na madhara mengine mengi yakiyopo ili hili nalo usilisahau.
Wasiliana nasi kwa tiba na ushauri.
0713491530
🍆🍌 😘😘
27/06/2022
Mpaka mtu anaumwa , maana yake kitaalamu ni kwamba kuna mazingira ya uvamizi yameruhusiwa na yamefanikiwa kukuvamia. Tafiti zinabaini kwamba kuna magonjwa mengi sana hupata nafasi yakiukuta mwili wako upo upo tu.
Sasa hapa ili kutoufanya mwili wako kuwa uwanja wa magonjwa ya hovyo , moja ya njia ya kufanya ni kuhakikisha unakuwa mtu wa mazoezi.
Jitahidi uanze mazoezi haraka iwezekanavyo , utajishangaa mwenyewe siku chache zijazo.
Wasiliana nasi kwa tiba na ushauri.
0713491530
🍆🍌 😘😘
26/06/2022
Kuna sababu nyingi zinaweza mfanya mwanao anakuwa ni mtu wa kuliaia mara kwa mara na kuumwa tumbo mara kwa mara.
Moja ya sababu na itakushangaza sana , ni zile chuchu za kunyonyea maziwa zile za kwenye chupa , zikiwa chafu na anakunywa na uchafu , pale ndipo maajabu yote huanzia bila ya wewe kujua.
Jitahidi kuzisafisha mara kwa mara.
Wasiliana nasi kwa tiba na ushauri.
0713491530
🍆🍌 😘😘
25/06/2022
MWANAUME NISIKILIZE , wakati wa kupiga kazi ile ya kwichikwichi ukijifanya unaruhusu mawazo yako ya kipumbavu ambayo yanakuletea hofu yoyote , ujue kabisa hiyo kazi itakuw ngumu siku hiyo.
Aafu huyo bi mamaa atasema haujakamilika. Nakupa hizi mbinu za kufanya
1-Jitahidi usiwe na hofu
2-K**a umeshindwa basi mapema tafuta namna ya kutoingia mchezoni
Hofu itakufanya uje kununua dawa za nguvu za kiume kumbe ni mastress yako tu na si kwamba haujamilika. Ukiwa mchezoni futa hofu zozote , wewe ni simba nakuaminia msitu wote wako mtu wangu.
Wasiliana nasi kwa tiba na ushauri.
0713491530
🍆🍌 😘😘
24/06/2022
Unavyokuwa unabana sana mkojo , haujui tu kwamba hatari za kupata UTI ni kubwa kwako. Sasa fanya hivi ukipata tu call ya kuumwaga jitahidi uwe unaumwaga mapema.
Kuna madhara mengi , nitakufungua siku nyingine kwa marefu na mapana mtu wangu , ila nimekuanzia na hili japo nalo nitakuja kufafanulia vizuri.
Wasiliana nasi kwa tiba na ushauri.
0713491530
🍆🍌 😘😘
23/06/2022
Hii issue hupelekea maumivu makali sana hasa kipindi cha hedhi, yani kuna muda unashindwa kabisa kufanya chochote. Sasa sikia mwaname ikifika kipindi cha hedhi na ukaanza kuona maumivu makali unayapata wahi kupiga check up fasta huwezi jua labda ni PID.
Ukishacheki wahi kwetu tukupe dawa ya kupona mazima mazima.
Wasiliana nasi kwa tiba na ushauri.
0713491530
🍆🍌 😘😘
22/06/2022
Wanaume wengi tumekuwa tukikimbilia vumbi la congo , bila hata kujua kwamba hii kitu inatuua wenyewe taratibu.
Nikwambie hii kitu inathiri mishipa yako , unakuwa ni mtu umejawa na ganzi ya muda tu kumbe inaharibu mishipa yako na unajikuta mzigo hausimami moja kwa moja unakuwa lege lege.
Mwisho wa siku unakuwa unaweza kukojoa tu ila hamna tena mambo hapo.
Jitahidi uache hii kitu , anza vitu vingine k**a mazoezi na tiba zingine urudi kwenye uhalisia wako na uanaume wako kamili.
Wasiliana nasi kwa tiba na ushauri.
0713491530
🍆🍌 😘😘
01/06/2022
Sema ulipo na offer yako itafika huko huko kwa uaminifu wote , iwe ndani au nje ya nchi.
Karibu uwasiliane na team yetu ya wataalamu wa afya kwa ushauri zaidi
0713491530
🍆🍌 😘😘
01/06/2022
Ukiona kimoja chali , hata k**a hatosema ila ameshakutoa kwenye kundi la wanaume halisi.
Karibu uwasiliane na team yetu ya wataalamu wa afya kwa ushauri zaidi
0713491530
🍆🍌 😘😘
01/06/2022
Yani hata kukaa ni shida , hapo hakuna furaha tena karibu tukusaidie na utapona vizuri kabisa.
Karibu uwasiliane na team yetu ya wataalamu wa afya kwa ushauri zaidi
0713491530
🍆🍌 😘😘
01/06/2022
Dakika mbili chali , ukienda haurudi , dharau k**a zote , uoga umekujaa . Sikia boss fanya maamuzi mapema hii kitu ipo na ufumbuzi na utafurahi tena k**a mwanzo na zaidi.
Karibu uwasiliane na team yetu ya wataalamu wa afya kwa ushauri zaidi
0713491530
🍆🍌 😘😘