26/03/2021
Hii sio ya kukosa kabisa
Jisajili kupitia namba hii K**a umepanga kushiriki nasi #0674195747
Ni bure kabisa uwepo wako ndio malipo....
with courage and discipline come and learn pre-form one, English course, computer studies,Pc and QT.
26/03/2021
Hii sio ya kukosa kabisa
Jisajili kupitia namba hii K**a umepanga kushiriki nasi #0674195747
Ni bure kabisa uwepo wako ndio malipo....
27/02/2021
Welcome form one with there brothers and sisters of 2018 leaver's ........it was real amaizing.....with God's Grace we Didi it
WELCOME FORM ONE 2021 GOD IS OUR STRENGTH FOREVER...
Jaman secretary anahitajika shule ya Dar es salaam Baptist secondary School K**a tangazo linavyojieleza tuma maombi yako mapema mwisho jumanne na usahili ni jumamosi ijayo
13/01/2021
19/10/2020
School discussion for better education
Karibu tuzungumze utuelewe tunaposema
Maadili mazuri huenda sambamba na elimu bora
Karibu Dar es salaam Baptist secondary school tukuhudumie
Welcome for 19 Graduations ceremony of 2020 ....
Itafanyika tarehe 30.10.2020
Mahali:Dar es salaam Baptist magomeni
19/10/2020
Mahafari ya 18 ya mwaka 2019
Karibuni tens mwaka 2020 maana yajayo yanafurahisha.....
Usikubali kukosa njoo wewe na mwenzio uliyemaliza nae hapa tuna neno na wewe.
Karibu sana.
12/10/2020
Elimu kwa maendeleo yako..
Karibu tukuhudumie
Shule ya sekondari DAR ES SALAAM BAPTIST iliyoko magomeni- usalama DAR es salaam inayofuraha kukujulisha kwamba mwanao amepata nafasi ya kusoma PRE-FORM ONE katika shule yetu. Masomo yataanza tarehe 12/10/2020 Hadi tarehe 18/12/2020. Ada zetu ni nafuu na utalipa kwa awamu. Fomu zinapatikana shuleni.
MASASILIANO: 0718892122
0754243277
Karibu kwa masomo ya pre form one kwa mwaka 2020 hapa Dar es salaam Baptist secondary Magomeni Dar es salaam Tanzania.