14/06/2022
Rivers Daycare Centre,create better future for your child..
Our Mission is to offer quality early childhood Education in safe and enjoyable learning environment. Our Vision
To create a better future for every child.
Our values
Discipline,Love,Quality and Passion.
14/06/2022
Rivers Daycare Centre,create better future for your child..
09/06/2022
BADO TUNAENDELEA KUPOKEA WATOTO.
08/06/2022
Maeneo yetu ni mazuri na tulivu kabisa kwa mtoto kujifunza na kukua kimo na Maarifa.
Hivyo mzazi bado hujachelewa kumleta mtoto,tunapokea mtoto mwenye umri kuanzi mwaka mmoja hadi miaka mitano.
19/05/2022
Extra curricular classes: swimming for health,swimming for learning
10/05/2022
RIVERS DAYCARE CENTRE
"Creating a Better Future"
22/04/2022
Bado nafasi zipo hujachelewa mzazi....
21/04/2022
We are still receiving children...
20/04/2022
K**a una mtoto mwenye umri kuanzia mwaka mmoja hadi miaka mitano,na unamtafutie sehemu atakayopata Elimu Bora ya awali,Basi mlete Rivers Daycare Centre,ni eneo sahihi kabisa kwa mtoto..
Shule ipo TOANGOMA mtaa wa EBENEZER
Mawasiliano 0767 085 485
Karibu Sana.
03/03/2022
At Rivers Daycare Centre security of our children is first priority. We ensure the school compound is well secured.
23/02/2022
We ensure children's happiness at our School is great as much as possible ,even to make it look home
| Monday | 00:45 - 16:30 |
| Tuesday | 00:45 - 16:30 |
| Wednesday | 00:45 - 16:30 |
| Thursday | 00:45 - 16:30 |
| Friday | 00:45 - 16:30 |
| Saturday | 08:30 - 12:30 |