Tabata_chemistry

Tabata_chemistry

Share

Ijue chemistry ikufae katika maisha ya Kila siku

Photos from Tabata_chemistry's post 07/01/2021
Photos from Tabata_chemistry's post 07/01/2021

TEST OF WATER USING COPPER (II) SULPHATE

Jinsi ya kujua k**a kimiminika chako ni maji, chukua copper sulphate imwagie maji itabadirika kutoka nyeupe kuwa rangi ya blue

Photos from Tabata_chemistry's post 07/01/2021

COPPER (II) SULPHATE
a very important chemical in the lab

kemikali ya kopa ya salfeti ni kemikali iliyopo katika kundi la chumvi ambayo inatumika kujaribia maji au kuweza kujua k**a kimiminika chako ni maji halisi

22/12/2020

GIRLS CAN BECOME CHEMISTS
(wanawake wanaweza kuwa wakemia)
-Ewe msichana au mwanamke, nawe unaweza kubobea katika kujifunza na kupata maarifa ya elimu ya MADAWA na kemikali maana katika maisha ya kila siku tunakutana na kemikali kuanzia sabuni tunazotumia mpaka vyakula, kemikali ambazo zinahitaji elimu ili kuzitengeneza na kuzitumia vizuri

22/12/2020

TEST TUBE
-Ni glasi nyembamba iliyotenegezwa na glass ngumu ambayo hutumika katika maabara(laboratory) kuwekea vimiminika kwa kikemikali, kuchanganyia vimiminika na kuunguzia vimiminika au kupashia joto vimiminika

20/12/2020

HADUBINI( MICROSCOPE)
Ni kifaa makini kinachotumiwa na wanasayansi wakiwemo wana kemia katika kuangalia na kukuza vitu vyenye muonekano mdogo kwa macho

20/12/2020

Chemistry carrier
- Kwa kusoma somo la chemistry hata wanawake wanaweza kupata ujuzi mbalimbali mfano kuwa mfamasia, dokta, nesi, mchunguzi n.k

Angalia mdada huyu mahili katika kemia

20/12/2020

ELECTRONIC BEAM BALANCE
Katika chumba cha maabara huwa tunahitaji kupima sampuli za maada(matter) ili tuweze kuzitumia katika kufanya majaribio mbalimbali.
Angalia hapa ni Mzani wa kielektroniki unaotumia umeme kupima uzani wa hata kiasi kidogo zaidi cha kemikali

20/12/2020

Chemical reaction (mpambano wa kikemikali)
-vitu vikikutana au kuwekwa pamoja au kuchanganywa vinaweza au visiweze kupambana kutegemeana na tabia za vitu hivyo.

Angalia hapa chini kemikali (vitu) zimepambana na kuzalisha gesi mithili ya mvuke
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

WhatsApp Group Invite 02/12/2020

Hey! Sasa jiunge na WhatsApp group la Tabata_chemistry kupitia let link hii hapa chiniπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

WhatsApp Group Invite WhatsApp Group Invite

24/05/2020

Chemistry is life because all the body parts of living things composes chemical components

Photos from Tabata_chemistry's post 08/05/2020

CHEMISTRY LABORATORY
(MAABARA YA CHEMISTRY)
Is a special room where chemistry experiments are conducted

-ni chumba maalumu kinachotumiwa kufanyia majaribio ya kikemikali

MAABARA hii ni lazima iwe na
-miundombinu ya maji
-miundombinu ya umeme
-miundo mbinu ya gesi
-miundo mbinu ya kutolea hewa chafu na maji machafu yaliyochanganyika na kemikali
-madirisha makubwa yanayoweza kuingiza hewa safi kwa wingi
-mlango mkubwa unaofunguka kwa nje
-makabati ya kuhifadhia kemikali

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Dar Es Salaam