18/07/2023
Karibu Chuo cha CITY COLLEGE OF HEALTH SCIENCE-Mwanza Cumpus, kinawatangazia nafasi za masomo kwa muhula wa mwezi wa 9.Karibu upate Elimu bora na uhakika.Chuo kipo kwenye mazingira mazuri yakujisomea na walimu waliobobea katika ufundishaji.
↘️Jisajili sasa bonyeza hapo "APPLY NOW" Kujaza form ya kujiunga na chuo.