21/10/2025
Heavy duty Binding machine saizi ya A3 zipo dukani kwetu kwa bei nafuu sana. Hii no mashine nzuri kubwa na imara sana kwa ajili ya shguli zako za ofisini na kwingineko.
Tunapatikana DSM, Kariakoo mtaa wa Congo na Lindi jirani na kituo kikubwa cha mwendokasi.
Tupigie: 0763 973344
0754 492216
077 80 77999
18/10/2025
Ream papers za Mondi No. 1 tunazo ofisini kwetu bei ya sasa ni 42,000 tu kwa Carton. Mikoa yote tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
Kariakoo tunapatikana Mtaa wa Congo na Lindi.
0754 492 216 au 0763 973344.
12/02/2025
Betri za Calculators zipo dukani kwetu
Hizi ni namba: CR2032
Zinatumika kwenye Scientific Calculators, remote, saa ..
05/02/2025
Notebook book na diary kwa bei poa. Kwa jumla na rejareja.
Kariakoo DSM.
0778077999
11/12/2023
Scientific Calculator fx 991 zipo. Bei kwenye picha. Tupo Kariakoo na Gongo la mboto Dsm. 0754 492216
Tunauza jumla na rejareja