28/03/2021
Je wewe ni Mwalimu na unahitaji notes za masomo, mitihani na marking scheme
Jiunge na group letu Whatsapp buree kupitia link hapa chini. 馃憞馃憞
ELIMU-RABERS
WhatsApp Group Invite
17/01/2020
UTENGENEZAJI WA MISHUMAA
MALIGHAFI ZINAZOHITAJIKA WAKATI WA UTENGENEZAJI WA MSHUMAA
路 Paraffin wax
路 Utambi
路 Mould (umbo)
路 Stearine au mixture
路 Rangi
路 Jiko la mafutaa ya taa au mkaa
路 Sufuria
路 Boric acid
MAELEZO MUHIMU
路 Paraffin wax
Hii inatokana na nta na sega ya nyuki iliyo changanyikana na mafuta ya taa. Ina rangi nyeupe na katika utengenezaji wa mshumaa in aubora kuliko bee wax
Bee wax inatokana na masega ya nyuki yaliyo changanywa na mafuta ya petrol na diesel na rangi yake ni ya njano.
路 Stearine
Hii dawa maalumu inayofanya mishumaa iungane ama ishikane.
路 Boric Acid
Hii ni maalumu kwa ajili ya kuufanya utambi usiishe mapema na uwake bila kutoa moshi
路 Rangi
Rangi nzuri ni za chakula na nyingi huwa za maji
JINSI YA KUTENGENEZA
Utaanza kwa kuloweka tambi kwenye maji vikombe viwili na boric acid kwa masaa mawili kisha anika hadi zikauke vizuri kabisa halafu yeyusha paraffin wax na stearic jikoni kisha andaa umbo lako kwa kulitoboa tundu dogo chini. Kisha pitisha utambi kwenye umbo alafu uuvute utambi ufunge juu kwenye kijiti, mwagia uji kwenye umbo alafu uache hadi ukauke kabisa kata umbo la chini uvute mshumaa na tayari kwa matumizi.