11/11/2024
Form Four 2024 all the best in your National Exams. May your dreams come true in Shaa Allah!
A School owned by Mwenge Mosque& Islamic Centre( MMIC) A Center for resitters and QT, accommodating borders students
11/11/2024
Form Four 2024 all the best in your National Exams. May your dreams come true in Shaa Allah!
Baadhi ya Wanafunzi walioanza kufanya Mitihani ya kumaliza kidato cha nne 2023 wakifanya dua kwaajili ya kupata wepesi katika Mitihani yao. Allah awajaalie Wanafunzi wote wanaofanya Mitihani wafanye vizuri Allahuma aamen.
13/09/2023
Wakati tukiendelea kuwatakia kheri Vijana wetu wanaofanya mitihani ya kumaliza elimu ya Msingi tunawakaribisha pia kujiunga nasi kwenye program ya Pre form one Kwa gharama nafuu sana
12/07/2023
16/05/2023
Mkurugenzi akijumuika na baadhi ya Wanafunzi kufurahia birthday ya mmoja wa Wanafunzi wake🔥🔥🔥
16/05/2022
Zile series za mitihani kila wiki kwa Wanafunzi wetu zinaendelea kuwapa uzoefu
27/04/2022
Kazi inaendelea kwa ufanisi mkubwa!
11/04/2022
Mitihani ya robo muhula inaendelea hapa Shuleni #
Tumeuanza mwaka 2022 kwa kishindo, karibuni Zuhra Islamic Secondary School Mwenge
ASSALAM ALEYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH
Zuhra Islamic Secondary School inakaribisha maombi kwaajili ya kujiunga na kidato cha kwanza Mwaka 2022.
Fomu za maombi zinapatikana Shuleni Mwenge karibu na TRA barabara ya Afrika Sana.
Fomu za maombi zinatolewa kwa kiasi cha TZS. 10,000/=
Karibuni sana kwa elimu bora na maadili mema kwa mujibu wa dini ya Kiislamu.
08/09/2021
Karibuni Zuhra Islamic Secondary kwa elimu bora na maadili mazuri.
| Monday | 07:30 - 17:00 |
| Tuesday | 07:30 - 17:00 |
| Wednesday | 07:30 - 17:00 |
| Thursday | 07:30 - 17:00 |
| Friday | 07:30 - 11:30 |