07/03/2025
Kuelekea siku ya Wanawake duniani tunawakaribisha wadau wote kwenye viwanja vya Leaders club katika kutoa huduma ya msaada wa kisheria kwa Wanawake na walemavu.
Sheria Poa ni NGO inayojishughulisha na utoaji wa elimu na msaada wa kisheria kwa jamii.
07/03/2025
Kuelekea siku ya Wanawake duniani tunawakaribisha wadau wote kwenye viwanja vya Leaders club katika kutoa huduma ya msaada wa kisheria kwa Wanawake na walemavu.
21/11/2024
Kipekee tunapenda kuwashukuru gazeti la kwa kutambua jitahada na mchango wetu katika jamii. Programu hii ya Msaada wa kisheria ni endelevu na tunawasii Wananchi ambao wanahitaji msaada wasisite kukaribia ili tuweze kuwapatia huduma.
20/11/2024
Tunafurahi kuona jitiada zetu zikiwa recognised, tutaendelea kutoa huduma kwa jamii kwa moyo mmoja. Shukrani kwa for recognizing and featuring us on todays newspaper
20/11/2024
Tulipata Mapokezi mazuri sana Parokia ya Mburahati, hatuna neno la ziada zaidi ya kushukuru 🙏
18/11/2024
Wanasheria wetu wakiwa wanatoa huduma ya msaada wa kisheria katika parokia ya Mburahi.
18/11/2024
Jana tulifanikiwa kuzindua katika parokiani kwako ya Familia Takatifu - Mburahati, Programu hii ni maalum kwa kutoa huduma ya msaada wa kisheria.
Tunafurahi kwa mapokezi tuliyoyapata katika parokia ya Mburahati na waumini wengi walijitokeza kupata huduma hii.
25/09/2023
Tumefanikiwa kutoa msaada wa kisheria kwa wakazi wa Kata ya Mchafukoge katika wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, tunategemea kuendelea na zoezi hili kila ijumaa ya mwisho wa mwezi katika kata hii. Tunawakaribisha wote katika huduma hii.
01/05/2023
Heri ya siku ya Wafanyakazi
26/04/2023
Heri ya Siku ya Muungano
26/04/2023
Heri ya Siku ya Muungano
21/04/2023
Eid Mubarak
| 08:00 - 17:00 |