18/03/2024
Our Monday Motivation Word ππ»
Embrace the journey, for every step forward is a leap toward your dreams. Let the adventure of learning abroad ignite your passion and fuel your ambition. Seize every opportunity, for greatness awaits those who dare to explore beyond boundaries. πβ¨
19/02/2024
2024 ni mwaka ambao
Kila mtanzania bila kujali
Umri, tabaka wala kipato
Atanufaika na fursa mbalimbali
Za masomo na kazi nje ya nchi
Kaa kitako
tunakuja kivingine
Tufollow
Weka post notification ON
2024 hatuachi mtu
Fursa gani unatamani kuziona
Na mwaka huu 2024?
19/02/2024
ππππππππππ πππππππ
ππππ πππππ ππ ππππππππ
K**a ulikuwa na ndoto
Ya kusoma marekani
2024 ndoto yake inaenda kutimia
Sema ππ¦π’π§π kabla sijaendelea
Jana tumesign mkataba
Na moja ya kampuni kubwa sana
Nchini Kenya na marekani
βAfrica Airlift Initiativeβ
Yenye ushirikiano na
M power na 8B commissions
Za nchini marekani
K**a umekuwa ukifwatilia
Scholarships za marekani
Utakuwa unawajua hawa majamaa
Kiufupi ni kwamba
Wanakukopesha gharama zote
Za kusoma marekani
Kozi yoyote ya miaka miwili
Wanakutafutia na kazi
Kipindi unasoma mpaka unamaliza
Then unawalipa hela yao
Kidogo kidogo kwa riba nafuu
Kwa lugha ya mtaani
Tunaweza sema
HAWA NI LOAN BOARD YA USA
Sasa k**a ulikuwa na ndoto
Ya kusoma masters marekani
Wakati sahihi ndo huu
Tuma ujumbe huu whatsapp
βNataka kusoma masters marekaniβ
Staff wetu watakusaidia
Kutimiza ndoto zako
+255747173931, +255767249001
#2024 tumekuja kivingine
19/02/2024
Umeshawahi sikia kozi hii ya afya ambayo imetengeneza mabilionea wengi duniani?
ππππ‘ππ₯π¨π« π’π§ ππ«π¨π¬ππ‘πππ’ππ¬ ππ§π ππ«ππ‘π¨ππ’ππ¬
Inahusu nini? Ajira zake ni zipi? Ungana na tunapoinyambua kozi hii kiyakinifu
Bachelor in Prosthetics and Orthotics ni programu ya masomo inayohusu kubuni, kutengeneza, na kufitisha vifaa bandia na vifaa vya msaada kwa watu wenye ulemavu au upungufu wa viungo. Programu hii inalenga kutoa elimu na mafunzo kuhusu anatomia ya binadamu, biomechanics, teknolojia ya vifaa bandia, na ujuzi wa kliniki ili kuboresha ubora wa maisha ya watu wenye mahitaji haya.
Ajira zinazohusiana na uwanja huu ni pamoja na:
1. Prosthetist/Orthotist - Mtaalamu anayefanya kazi moja kwa moja na wagonjwa kubuni na kufitisha vifaa bandia na vifaa vya msaada.
2. Clinical Manager - Anayesimamia operesheni za kliniki za prosthetics na orthotics na kuhakikisha utoaji wa huduma bora.
3. Rehabilitation Engineer - Anayebuni na kuboresha vifaa vya kusaidia watu wenye ulemavu.
4. Research Scientist - Anayefanya utafiti kuhusu teknolojia mpya na mbinu za kuboresha vifaa bandia na vifaa vya msaada.
5. Technical Support Specialist - Anayetoa msaada wa kiufundi na mafunzo kuhusu matumizi na matengenezo ya vifaa bandia na vifaa vya msaada.
6. Sales Representative - Anayeuza vifaa bandia na vifaa vya msaada kwa kliniki, hospitali, na watumiaji moja kwa moja.
7. Orthotic and Prosthetic Technician - Anayetengeneza na kurekebisha vifaa bandia na vifaa vya msaada kulingana na maelekezo ya mtaalamu.
8. Pedorthist - Mtaalamu maalum katika kubuni, kutengeneza, na kurekebisha viatu na vifaa vingine vya miguuni.
9. Occupational Therapist - Wanaojihusisha na prosthetics na orthotics kusaidia wagonjwa kurejea katika shughuli za kila siku.
10. Product Development Engineer - Anayebuni na kuboresha bidhaa za prosthetics na orthotics kwa soko.
Wataalamu hawa wanachangia kuboresha maisha ya watu wenye ulemavu au upungufu wa viungo, kwa kutumia teknolojia ya kisasa kubuni na kutengeneza vifaa vinavyokidhi mahitaji maalum.
Kozi hii inapatikana Medipol University, nchini uturuki kwa budget ya dola 6000 kwa mwaka
09/01/2024
Je, ulikuwa unajua?
Kuna vyuo Canada ambavyo
Huwezi kabisa kukosa visa
K**a una admission letter yao
Karibu tukuhabarishe
Mchakato wa visa ya Canada
Unaangalia vitu vingi sana
Kimoja wapo ni hiki hapa
βFIRST INSTALLMENTβ
Nipe dakika yako 1 tu nikuelezee
First installment ni nini?
Ni yale malipo ya awali
Ambayo hufanyika na mwanafunzi
Kabla ya kupata LOA
Atakayotumia kuombea visa
LOA ni nini?
Letter of acceptance
Asilimia 99% ya vyuo Canada
Vina first installment
Nyingi zinacheza kati ya
CAD Dola 500 mpaka dola 3000
Ila hichi chuo
βUNIVERSITY CANADA WESTβ
Kina first installment ya
CAD 7900, Approx Tsh: 14.3M
Ukilipa hiyo ukapata LOA yako
NI ngumu sana kukosa visa
VISA YA CANADA
Hii ni kwa sababu gani
Sababu kubwa ya watu/wanafunzi
Kukosa visa ya Canada
Ni moja tu
Je, mwanafunzi huyu
Anaenda kuzamia
Au atarudi nchini kwake
Unawaaminishaje
Immigration wa Canada
Kuwa unaenda kusoma
Ukimaliza utarudi nchi kwako
Ni kwa kuchagua chuo
Chenye first installment kubwa
Watajiuliza
Huyu kalipa Tsh 14.3M
Ili azamie Canada
SIO KWELI
Wakimaliza kujiuliza
Unapigiwa simu chap
Upeleke passport yako
Wakugongee visa
And here is a fun fact for you
Tanzania nzima
Ni agent moja tu
Ambaye ni
Mwenye exclusive contract
Na βUNIVERSITY CANADA WESTβ
Kupitia
Hawatakuomba IELTS exam
Hutafanya interview
Na utapata barua ndani ya siku 3 tu
Unasubiri nini
Kutimiza ndoto yako ya kusoma Canada
Wahi sasa japo nafasi si chache
Kozi zipo mbili tu
1. Bachelor in Business Communication
2. Bachelor in Commerce
3. Masters in Business Administration
0767249001, au fika ofisini kwa maelezo zaidi
Study abroad with
03/01/2024
TASSAA UPDATES 02/01/2024
Nchi 10 bora zenye vizuizi vichache vya visa kuliko nchi yoyote ile duniani
Please RT ifike mbali
1. Singapore
2. Japan
3. South Korea
4. Malaysia
5. Seychelles
6. Maldives
7. Mauritius
8. Barbados
9. Belize
10. Fiji
Tafadhali kumbuka kwamba sera za visa zinaweza kubadilika, hivyo ni vyema kuangalia taarifa za karibuni kutoka kwenye vyanzo rasmi vya serikali kabla ya kupanga safari yoyote.
Study abroad with
Travel abroad with
07/12/2023
Fursa Fursa Fursa
Kabla ya mwaka 2023 kuisha
Niliwaahidi watanzania kuwa
Nitakuja na fursa za Online
Kwa gharama nafuu sana
Ile siku ndio leo
One of the best University in India
Imetupatia
Kozi 10 ambazo watanzania
Wanaweza kusoma Online
Please RT iwafikie watu wengi
Kozi hizo ni
1. Bachelor in Business Administration
2. Masters in Business Administration
3. Bachelor in Computer Application
4. Masters in Computer Application
5. Masters of Commerce
6. Masters in Applied Mathematics
7. Masters in English Language Teaching
8. MA journalism and Mass communication
9. Masters in Clinical Psychology
10. Masters of Social Work
Intake ni January 2024
Ada ni dola 1000 kwa mwaka
Kozi za Bachelor in miaka 3
Kozi za masters ni miaka 2
Kwa wanafunzi 10 wa kwanza
Watapata scholarship ya 800 USD
Wakilipa ada ya miaka yote miwili
Jaza form hii kujiunga
forms.gle/uh8HoaXeugNpmYβ¦
Unaweza pia join group la telegram
t.me/+7B5brQh_-OA2Nβ¦
Study abroad with
07/12/2023
Unlocking global opportunities effortlessly! Our support makes studying abroad with us a seamless journey. From financial aid to personalized assistance, we ensure your international education dreams come true. ππ
05/12/2023
Ndugu waandishi wa habari
Zifuatazo ni kozi 19 za afya
Ambazo mwanafunzi wa PCB
Au graduate wa Clinical Medicine
Anaweza kuzichangamkia
K**a fursa
Zote zipo India
September Intake, 2024
Please Repost ziwafikie
Vijana wengi zaidi
Wasije wakaenda Diploma
Wakati maksi
Za kusoma degree wanazo
1. Bachelor in Audiology and Speech Language Pathology
2. Bachelor in Pharmacy
3. Bachelor of Physiotherapy
4. Bachelor of Optometry
5. Bachelor of Occupational Therapy
6. Bachelor of Science in Medical Laboratory Technology
7. Bachelor of Science in Medical Imaging Technology
8. Bachelor of Science in Renal Dialysis Technology
9. Bachelor of Science in Critical Care Technology
10. Bachelor of Science in Clinical Nutrition & Dietetics
11. Bachelor of Science in Medical Record Science
12. Bachelor of Science in Operation Theatre and Anaesthesia Technology
13. Bachelor of Science in Cardiac Care Technology
14. Bachelor of Science in Cardio Perfusion Technology
15. Bachelor of Science in Accident and Emergency Care Technology
16. Bachelor of Science in Respiratory Theraphy
17. Bachelor of Science in Physician Assistant
18. Bachelor of Public Health
19. Bachelor of Science in Nursing
Study in SRM Chennai with
Ada, malazi na chakula 10M kwa mwaka
Chuo kina ranking kubwa
Kuliko vyuo vyote Tanzania na Africa
0767249001, 0710040098
5th floor, Tanzanite Park, Victoria, Dar es salaam
01/12/2023
Embracing December with warmth, joy, and endless possibilities. π Let the festive season begin!
30/11/2023
Canada is often considered an excellent destination for studying and working simultaneously due to several reasons. Renowned for its high-quality education system, diverse culture, and welcoming atmosphere, Canada provides students with the opportunity to gain a world-class education. Additionally, the country's favorable immigration policies allow students to work part-time during their studies and full-time during scheduled breaks. The emphasis on practical, hands-on learning further enhances the overall educational experience. With a strong economy and a focus on innovation, Canada offers a conducive environment for career development, making it an attractive choice for those seeking a balance between education and work.
30/11/2023
Name your dream destination and make it your classroom! Share your dream study abroad country in the comments below and let's turn those aspirations into reality.