Ni**od akigusia mafanikio ya huduma tunazozitoa hapa brookside
Amesisitiza kuwa programs k**a Music Classes, Chinese and French Languages ,Sports and Scouting, pamoja na Swimming Program zina nafasi kubwa katika kuwajenga wanafunzi, si kitaaluma tu bali pia katika vipaji na maisha ya kila siku.
Kwa mtazamo wake, Brookside School imeendelea kuonyesha ubora kwa kutoa huduma zinazolingana na mahitaji ya dunia ya sasa, jambo linalowapa wanafunzi maandalizi ya kesho yao.
Wazazi, huu ni wakati sahihi wa kuchagua mahali sahihi kwa mtoto wako.
ChaguaVizuri ✨
Brookside Nursery and Primary Schools
Brookside Pre and Primary schools, provides best and quality education for the better future of your child. #WeAimHigher
Tumefurahi kumpokea tena Ni**od Onesmo, mhitimu wa darasa la saba mwaka 2018 kutoka Brookside School, ambaye leo ametutembelea shuleni.
Ameonesha furaha na mshangao mkubwa kuona jinsi shule yetu ilivyokua na kupendeza zaidi.
Ni**od ameeleza wazi kuwa imekuwa sehemu muhimu katika safari yake ya kielimu, na amewashauri wazazi kufanya uamuzi sahihi wa kuwaleta watoto wao hapa, kwani yeye ni shuhuda wa mafanikio yanayojengwa hapa.
Karibu mahali ambapo ndoto za wanafunzi huanza na kukua kwa mafanikio makubwa! 🌟
23/03/2026
We were with you at Mlimani City on Eid day, and we’ll be there again during Easter!
You will also find us at the Sabasaba exhibitions, ready to serve you even more closely.
Our goal is simple:
✨ To bring our services closer to you
✨ To give you the opportunity to ask and understand more
✨ To make the admission process easy and hassle-free
Wherever we are, we are here for you and your child to ensure access to quality education and the right information.
You’re welcome to visit us Brookside is with you every step of the way!
KaribuBrookside
21/03/2026
Eid Mubarak! 🌙✨
Furaha ya Eid inaendelea, na Team ya Brookside bado ipo Mlimani City kukusubiri! 🤝
Njoo upate nafasi ya kufahamu kwa undani:
✨ Kwa nini uchague Brookside kwa mtoto wako
✨ Ubora wa elimu tunaoitoa
✨ Mazingira salama na malezi bora
Tupo hapa kwa ajili yako—kusikiliza, kuelekeza na kukuhudumia kwa karibu zaidi.
Pia, unaweza kufanya admission ya muhula wa pili papo hapo bila usumbufu wowote.
Karibu sana, tukuhudumie leo! 📚🔥
21/03/2026
Asanteni kwa kuendelea kuwa sehemu ya familia ya Brookside 🤍
Tunathamini ushirikiano wenu na tunawaahidi kuendelea kutoa elimu bora kwa watoto wenu.
Eid Mubarak – Tuchague elimu bora kwa mustakabali wa watoto wetu! 📚🌟
21/03/2026
Asanteni kwa kuendelea kuwa sehemu ya familia ya Brookside
Tunathamini ushirikiano wenu na tunawaahidi kuendelea kutoa elimu bora kwa watoto wenu.
Eid Mubarak – Tuchague elimu bora kwa mustakabali wa watoto wetu! 📚🌟
Brookside Marketing Team ipo Mlimani City!
Sababu kuu ni hizi:
1️⃣ Kukusogezea huduma karibu zaidi
2️⃣ Kukupa nafasi ya kuuliza maswali yako yote
3️⃣ Kukuhudumia kwa haraka na kwa ufanisi
Ulikuwa mbali unajiuliza utatupataje? Sasa ni rahisi zaidi!
K**a una maswali yoyote kuhusu masomo, usajili au mazingira ya shule—njoo tukusikilize na tukuhudumie kwa karibu.
Pia, unaweza kufanya malipo ya admission kwa muhula wa pili papo hapo kwa madarasa yote.
Karibu sana Mlimani City – Brookside tuko hapa kwa ajili yako! 📚✨
Elimu bora huanza hapa ✨ Karibu Brookside School leo, mletee mwanao mazingira salama ya kujifunza, malezi bora na msingi imara wa mafanikio ya kesho. 📚
International collaboration broadens knowledge and inspires! 🌍📚 "
Jana, familia ya Brookside School ilikusanyika kushiriki futari ya pamoja na wafanyakazi , Wazazi na Majirani wa shule.
Tukio hili lilikuwa fursa ya kuimarisha mshik**ano waupendo na mshik**ano wa kijamii, huku tukigawana baraka za mwezi mtukufu wa Ramadhani na kwa Resma.
Mwenyezi Mungu anatuwahi:
“Na fanyeni wema; hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao wema, *Surah Al-Baqarah 2:195
Pia Mtume Muhammad ﷺ amesema:
“Mwenye kumfuturisha aliyefunga atapata thawabu k**a yake bila kupungua thawabu ya aliyefunga, — Imam At-Tirmidhi
Asanteni kwa kushirikiana nasi katika jioni ya baraka, jioni ya mshik**ano katika kipindi hiki cha Ramadhani na Kwaresma.
FutariYaPamoja
KimaraS**a
DarEsSalaamSchools 🌙
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Address
Mbezi, Kimara S**a
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 06:00 |
| Tuesday | 07:00 - 06:00 |
| Wednesday | 07:00 - 06:00 |
| Thursday | 07:00 - 06:00 |
| Friday | 07:00 - 06:00 |
| Saturday | 09:00 - 01:00 |