03/06/2026
Hizi ni baadhi ya projects za wanafunzi wetu baada ya mafunzo ya miezi 3 tu hapa
K**a wao wameweza ndani ya miezi 3 wewe unasubiri nini?
Sasa ni zamu yako kuanza safari yako ya ubunifu wa mavazi na ushonaji kwa vitendo zaidi
Bado tunaendelea kupokea wanafunzi wa MAY INTAKE katika ngazi zote 3:
✔️ Beginner
✔️ Intermediate
✔️ Masterclass
📌 Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni Kijitonyama, nyuma ya Kanisa la KKKT au WhatsApp: 0718 731 438
NB: Hostel zipo
📍 Kijitonyama – Dar es Salaam
📞 0718 731 438
25/05/2026
UPO BIZE ASUBUHI MPAKA MCHANA? HII NI NAFASI YAKO!
Kwa wale wanaofanya kazi, wana biashara au wenye majukumu mengi mchana sasa unaweza kujifunza kushona bila kuathiri ratiba yako
tunakuletea DARASA LA JIONI lenye muda rafiki kwa watu busy wanaotaka kuongeza ujuzi na kujitengenezea kipato cha ziada.
🕚 Muda wa masomo:
Saa 11.00 Jioni – Saa 1.00 Usiku
✅ Ushonaji wa kisasa kwa vitendo
✅ Kutengeneza mavazi ya viwango
✅ Mbinu za kujiajiri kupitia ushonaji
✅ Ujuzi unaotafutwa sokoni
💰Ada: Tsh 300,000/- kwa mwezi
Masomo yanaanza 15/06/2025
📍 Kijitonyama, Dar es Salaam
📞 0718731438
Usiruhusu ubize wa mchana ukuzuie kutimiza ndoto zako.
Jisajili sasa na anza safari ya mafanikio