Mwanga Vission Group

Mwanga Vission Group

Share

Ukurasa maalum kwa waliowahi kusoma Mwanga Secondary School iliyopo Mwanga-Kilimanjaro

Karibuni Wadau tukumbushane Enzi hizo!!

Ni kikundi cha wanafunzi waliowahi kusoma shule ya sekondari Mwanga chenye lengo la kuendeleza undugu na umoja waliokuwa nao shuleni lakini kwa kujikita kwenye biashara ya mazao biashara

Tunalima na kuuza matikiti maji,matango,pilipili hoho,carrotts,ufuta,mihogo na mahindi

kwa mahitaji ya jumla na rejareja usisite kuwasiliana nasi kupitia mawasiliano yetu....

KILIMO KWA MAENDELEO.........

15/07/2015

WanaMwanga Mpooi?
Jamani hebu tukumbushane vitu ambavyo hutovisahau pindi ukiwa mwanafunzi wa Mwanga Secondary School

Je vipi ambavyo unatamani muda ungerudi nyuma walau saa moja ufanye au uvione vikifanywa

Toa mchango wako

12/07/2015

Hi Wana_Mwanga

Matokeo yatayari ya mteule wa CCM

Hon John Pombe Magufuli ndiye chaguo la chama cha Mapinduzi

Kwahiyo tuachane na timu timu zetu k**a unamsupport Mh John Pombe Magufuli naomba fanya k**a unadondosha like yako tutambuane Team Pombe

Pombe

11/07/2015

Wana_MwangaSec mpo?

hebu k**a wasomi tuchambue yaliyofanywa na k**ati ya CCM kumuengua Lowasa na kumuacha Membe....

Tuchambue hawa waliowaons ndio bora
Dr Asha Rose Migiro
Dr John Pombe Magufuli
Bernard Membe

Nani kwa maoni yako anaweza kuipeperusha vyema bendera ya Kijani?

Naomba kuwasilisha mada

10/07/2015

Habari Wana_Mwanga Sec

Hebu fanyeni kulike hii page ili tuiboost tukumbushane enzi hizo na kujuana wapi tulipo baada ya kupotezana kwa miaka mingi

Tell a friend to tell a friend New page is on!!

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam