Moonlight open school

Moonlight open school

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Moonlight open school, Education, Ubungo, Dar es Salaam.

" A Different Approach to Education" 📚
🎓 Fursa ya pili ya kimasomo.
📍 Mbeya Mjini & Songwe
📞 0747660199
👇 Gusa hapa kutucheki WhatsApp:
https://wa.me/255747660199

Photos from Moonlight open school's post 28/05/2026

TAARIFA MUHIMU KWA WAHITIMU NA WAZAZI

​Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetangaza rasmi kufunguliwa kwa dirisha la udahili kwa ngazi ya Astashahada (Certificate) na Stashahada (Diploma) kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kuanzia leo, tarehe 28 Mei, 2026.

Photos from Moonlight open school's post 24/05/2026
Photos from Moonlight open school's post 14/05/2026

🎓 FAHAMU MFUMO WA POINTI ZA NECTA! 📚

Je, unajua pointi zako zinaamua daraja lako la ufaulu?

Hapa tumekuandalia mwongozo rahisi wa kuelewa madaraja ya Kidato cha Nne (CSEE) na Kidato cha Sita (ACSEE) kulingana na mfumo wa NECTA. ✅

📌 Kwa wanafunzi:

Tambua ulipo na ujipange kufika juu zaidi! 💪

📌 Kwa wazazi:
Msaidie mwanao kuelewa namna ufaulu unavyopimwa na umuhimu wa kuongeza juhudi kwenye masomo.

🏆 Kumbuka:

“Pointi chache = ufaulu mkubwa zaidi.”

🔥 Endelea kutufuatilia kwa taarifa sahihi za elimu, ushauri wa masomo na mbinu za kufaulu mitihani.

02/05/2026

Safari ya miaka miwili ya jitihada, kulala usiku kucha na kusoma kwa bidii sasa inakwenda kuzaa matunda.

​Tunawatakia kila la heri wanafunzi wote wa Kidato cha Sita (Form VI) kote nchini, na hasa mashujaa wetu wa Moonlight Open Secondary School, mnapoanza mitihani yenu ya Taifa (ACSEE) tarehe 4 May 2026.

26/04/2026

🎉 Heri ya Sikukuu ya Muungano!
Kutoka Moonlight Academy – tunalea kizazi chenye maadili, maarifa na uzalendo.
🇹🇿 26 April 2026

21/04/2026

Je, ulishawahi kukutana na changamoto ya majina kukosewa kwenye cheti chako? 🤔

​NECTA wanakumbushea kuwa jukumu la kuhakiki usahihi wa majina ni lako wakati wa usajili. Baada ya hapo, hakuna marekebisho ya kuongeza jina yatakayofanyika.

Share taarifa hii na mdogo wako au mwanafunzi aliye karibu nawe asije akapoteza fursa muhimu huko mbeleni. 📌

07/04/2026

"Picha moja, maelfu ya maneno ya mafanikio! Moonlight Open School tunajivunia kuwa sehemu ya safari ya wasomi bora nchini. Huu ni ushahidi wa kazi tunayoifanya kwa upendo na weledi mkubwa. 🏆
​Jiunge nasi sasa kwa masomo ya 'Pre-Form Five' na marudio kwa wale wanaotaka kuboresha matokeo yao. Excellence is our culture!
​ "

04/04/2026

Heri ya Pasaka kutoka Moonlight Open Secondary School! 🕊️✨
​Tunapoadhimisha ufufuo na matumaini mapya, uongozi wa shule unawatakia wanafunzi wetu, wazazi, na wadau wote heri ya sikukuu ya Pasaka. K**a ilivyo kauli mbiu yetu—"Excellence in Student's Achievement"—tunaamini kuwa kila msimu mpya unakuja na fursa mpya za kung'ara kimasomo na kimaadili.
​Mapumziko mema na yenye baraka tele kwa familia zenu! 🐣📚

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Ubungo
Dar Es Salaam