Darasa-Tujiajiri na madam Toppie

Darasa-Tujiajiri na madam Toppie

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Darasa-Tujiajiri na madam Toppie, Education, Dar es Salaam.

Photos from Darasa-Tujiajiri na madam Toppie's post 23/05/2020

Habari njema kwa wanaopenda kujifunza kutengeneza mawigi na vibanio vya Rasta Aina mbalimbali..Darasa letu linakuletea mafunzo hayo kwa njia ya what's app..Lini tutaanza..?utapata update hapa hapa kwenye page yetu.

Photos from Darasa-Tujiajiri na madam Toppie's post 22/05/2020

Offer ya mafunzo!!
Tumekuandalia offer ya mafunzo ya ujasiliamali bure msimu huu was Corona.. Watu zaidi ya 600 wanaendelea na mafunzo hayo ya ujasiliamali..Tembelea page yetu hi kupata updates za mafunzo..
Mafunzo yanatolewa Ni:-
1.Kushona mazulia Aina 3
2.Kupamba chupa Aina 3
3.Kushona foronya na mashuka Aina tatu.
Hayo Ni mafunzo ya awali ambayo utayapata bure msimu huu.. karibu ujiajiri

Photos from Darasa-Tujiajiri na madam Toppie's post 22/05/2020

Karibu katika page yetu ya Darasa-Tujiajiri na madam Toppie..Page hii itakupa muongozo wa darasa la mafunzo ya ujasiliamali aina mbalimbali.. Mafunzo yetu hutolewa kwa what's app na yamesaidia kuajiri vijana wengi..Karibu ujifunze.. karibu ujiajiri

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam