14/02/2024
Shamba la parachichi limeshapimwa Lina nyumba ya vyumba viwili linauzwa Eka tano 5 umri wa miti miaka mitatu 2 lina miparachichi 530 iliyoaza kuzaa IPO zaidi miatatu 300 hari ya shamba lipo vizuri lipo karibu na mto Lina kisima Cha maji lipo maguvani barabara ya makambako umbali kutoka shambani km7 Bei million mbili Kila eka mawasiliano 0693444832
27/01/2024
Je wewe ni mkulima wa miti ya mbao na nguzo na haujui ni wapi utapata Miche bora ya mlingoti wa kisasa?
Hii hapa ni miche bora kabisa ya mlingoti wa kisasa(Eucalyptus grandis),Miche hii inakua haraka zaidi na kutoa mavuno ya muda mfupi wa milunda,nguzo za umeme,vigogo vya mchina na mbao,
Tunapatikana katika mji wa Mafinga,
WASILANA NASI KWA NAMBARI 0716200754/0764746027
29/07/2023
TUNA HABARI NJEMA KWA WADAU WOTE NA MAKAMPUNI YANAYO NUNUA PARACHICHI TUMEANZISHA KITENGO CHA KUKUSANYA MATUNDA KUTOKA KWA WAKULIMA LENGO NI KUWAFIKIA WAKULIMA WOTE KUWAUNGANISHA NA MASOKO ILI KULETA UWIANO WA BEI, KAMPUNI ZINAZOHITAJI MATUNDA TUNAWASAIDIA KUPATA MATUNDA TUPIGIE 0693444832
NA WAKULIMA AMBAO HAWAJAUZA PARACHICHI BADO WANAO MZIGO TUPIGIE 0693444832
30/05/2023
Je unahitaji kuwekeza katika kilimo na haujui unapata wapi ardhi nzuri yenye rutuba na iliyo jirani na chanzo cha maji?
Jawabu la swali lako hili hapa👇👇
Mashamba yanauzwa maeneo yafutayo.....
Ekari 200 katika kijiji cha IGOMBAVANU Mufindi kila ekari 350,000.
Ekari 50 katika kijiji cha UKELEMI Mufindi Kila ekari 350,000.
Ekari 70 katika kijiji eneo la NYENYEMBE/MBALAMAZIWA kila ekari 400,000.
Karibu kwa mawasiliano,
0620262254
0712508648 whsp.
"Ardhi ni hazina nunua ardhi kadiri uwezavyo kwa manufaa ya kizazi chako"
28/05/2023
Agri- entrepreneurs need to be
1.Innovative
2. Risks taker
3.Be pro- active in identifying opportunities for success.
uko na fursa AVOCADO FARMING,
# Chukua hatua sasa tafuta ardhi,Lima ,panda Miche yako na itunze baada ya miaka michache utavuna Matunda yasiyokuwa na ukomo na hayo ndo mafanikio tuyatakayo.
16/08/2022
Tembelea mawakala wetu ujiapatie mbolea ya hakika halisi yenye viwango vya juu vya ubora!
04/08/2022
ELIMU JUU YA RUTUBA YA UDONGO.
âś…Rutuba ya udongo hutengenezwa na vitu vitatu muhimu ambavyo ni uasilia wa kibaiolojia, kikemia na kifizikia.
âś…Kati ya hayo, utunzaji wa udongo unategemea kwa kiasi kikubwa na mazingira ya kibaiolojia.
✅Viumbe hai wana mchango mkubwa sana katika kuendeleza rutuba ya udongo. Kazi yao kubwa ni kumeng’enya mabaki ya mimea, wanyama na viumbe hai wengine. Mchakato huu husababisha uwepo wa virutubisho, na hewa ya kaboni, ambavyo kwa pamoja hutengeneza rutuba kwenye udongo.
▶️Njia rahisi ya kutambua baiolojia na ufanyaji kazi wa udongo ni kwa kuangalia uwepo wa nyungunyungu (earthworms).
▶️Kujua muundo wa udongo husaidia kuweka usawa kati ya upitishaji wa hewa safi, umwagiliaji na ushamirishaji wa mizizi.
▶️Pembejeo za kilimo hai pamoja na mbinu za kilimo zinazosaidia katika kuzuia kusumbuliwa kwa udongo na kusawazisha upatikanaji wa viumbe hai zinaweza kutumiwa ili kuimarisha udongo na kulinda ardhi.
▶️Udongo wenye rutuba hauwezi kugandamana, hasa wakati wa mvua nyingi, ama kupasuka-pasuka wakati wa kiangazi, una harufu nzuri, una viumbe hai ama unaonyesha uwepo wa viumbe hawa, na mimea huonekana yenye afya.
25/07/2022
Kuhusu bidii na bahati, Mjasiriamali Sam Parr, anayemiliki Hustle Con anasema, “ kila nilivyojituma kufanya mambo ndivyo nilivyopata bahati zaidi. Jinsi nilivyoushughulisha ubongo ndivyo nilivyoziona fursa zaidi. Jinsi nilivyolala muda mfupi ndivyo nilivyotimiza malengo. Jinsi nilivyoweka akiba ndivyo nilivyoongeza mtaji. Jinsi nilivyojifunza ndivyo nilivyofahamu mengi.”