RESPOND POSITIVELY
Hekima Bookshop
We sell motivational books, School books, Business books, Relationship books, Personal Development books and Financial books. We do delivery.
Call now +255 742590541
08/07/2025
GIFTED HANDS ni kitabu ambacho kimebeba hadithi nzuri inayomhusu Dr Ben Carson, Dr wa kwanza duniani kuwatenganisha mapacha ambao walikuwa wameungana vichwa kwa upande wa nyuma...
Kitabu kinaeleza namna ambavyo Dr Ben Carson alitoka kuwa mwanafunzi wa mwisho darasani hadi kuwa mwanafunzi WA kwanza darasani na pia kuwa miongoni mwa watu mashuhuri duniani...
Aidha kitabu kimebeba mambo mengi ya kujenga, kufunza na kusisimua pia...
Wewe mwanamke Uliyekimbiwa na mume, au umefiwa na Mume au ni single mother, usikose kikisoma hiki kitabu...
Kitabu kipo Dukani kwetu, Fika na ujipatie Leo.... Tuna toa offa
Lipia Tsh 20,000 Kwenda namba +255 742 590 541 (Hekima Mwasile)
Tunafanya na Delivery
03/04/2025
✓Kuwekeza ndani yako ni uwekezaji ambao una faida nyingi...
✓Huo uwekezaji hautakusaidia kuboresha tu maisha yako pia utakusaidia kuboresha maisha ya watu wote ambao wanakuzunguka
Inawezekanaje?
✓Ni pale utakajifunza sanaa ya kujipenda wewe mwenyewe ili uweze kuwapenda na watu wengine.
✓Ni pale ambapo umefungua moyo wako ndipo unaweza kugusa maisha ya watu wengine
Haya yote nimetafsiri tu kutoka kwenye maandishi ya njano hapo kwenye picha...
Ukitaka kujua zaidi na kupata zaidi maarifa yenye kukujenga nakushauri Nunua Kitabu Cha A MONK WHO SOLD HIS FERRARI.
Kitabu Kipo Dukani kwetu Kwa Tsh. 15000/=
Tunafanya na Delivery Kabisa...
01/04/2025
CHANGE YOUR THINKING CHANGE YOUR LIFE ni kitabu ambacho Kimeandikwa na Brian Tracy.
Kitabu kinaeleza namna gani unaweza kuwa na fikira chanya au fikira pembuzi ili uweze kuwa mtu wa kitofauti...
Mafanikio yoyote yanaanza namna unavyofikiri katika ubongo wako...
Maisha yenye furaha yanaanza kutengenezwa na namna unavyofikiri
Ninakushauri kisome hiki kitabu, hakika kitakufanya ubadili maisha yako jumla.
Utapata matokeo ya ajabu kwenye maisha yako...
Usianze kuhangaika kwamba nitakipata Wapi Sasa?
Kitabu Kipo Dukani kwetu
Bei ni Tsh. 15000/= tu
Wasiliana nasi +255 (0) 742 590 541
Tunafanya na Delivery.
25/01/2025
KITABU: EAT THAT FFOG/KURAHA HUYO CHURA
KIPO KWA LUGHA ZOTE MBILI
BEI: TSH. 15000 TU
MAWASILIANO: +255 742 590 541
05/07/2024
Usioe mwanamke ambaye haelewi ulichokibeba au anajua ulichokibeba lakini hakiheshimu. Atakuwa mwiba mkubwa sana kwenye kutimiza ulichokibeba.
04/07/2024
Ukiwa na Mungu hata reaction pale unapokosewa inakuwa ya kitofauti sana.
03/07/2024
Kisaikolojia mwanaume huwa anaonaga aibu kumwomba hela mwanamke wake.
Ukiona imefikia hatua huna aibu kwenye kumwomba pesa mwanamke wako...
Jua una matatizo na unakoelekea utapoteza heshima yako.
Hakikisha unaona aibu, itakusaidia kulinda heshima yako...
Wanawake huwa wanadhalilisha kaa ujikua Hilo...
Ajisikie yeye mwenyewe kukupa labda lakini nje na hapo acha kuwa na shobo ya hela zake...
Ni wachache wana moyo wa kunyamaza ila wengi wao husema...
Kwahio kazi kwako...
Nakupenda ❤️
№:+255742590541
Email:[email protected]
02/07/2024
NUKUU...
"Mimba ni baraka ukipata wakati sahihi Ila ukipata muda ambao sio sahihi ni mzigo"
02/07/2024
WANAWAKE HUVUTIWA ZAIDI NA HAYA MAMBO KWA MWANAUME...
1. PESA
🎯Ukiwa na pesa wanawake wote unaweza wachukua maana Huvutiwa na hela sana. Haijalishi una sura gani ila ukiwa na pesa tu basi unaweza kupata mwanamke ye yote ambaye unamtaka. Ndivyo walivyo hawa viumbe 😂
2. THAMANI YA MTU
K**a vile ambavyo nimesema wengi huvutiwa na pesa vivyo hivyo huvutiwa na mwanaume ambaye ana thamani kubwa katika jamii. Lengo la kuvutiwa na watu wa hivi ni kwa lengo la wao kuuza sura zao katika jamii.
3. JINA
Wanawake huvutiwa na watu wenye majina, ukiwa na jina tu wanawake hujileta wenyewe, tena wao ndio watakutaka. Mfano angalia watu maarufu wakipanda jukwaani kudumbuiza utaona lundo la wadada wakigombania.
4. MAMLAKA AU NGUVU
Pia wanawake wengi huvutiwa na watu wenye mamlaka au vyeo katika nyadhifa tofauti tofauti. Huwa wanapenda hivyo kwa lengo la kuuza, yani watu waseme ile ni pisi ya kiongozi bana au yeye mwenyewe ajitambulishe mimi ni mtu wake kiongozi fulani au mume wake na fulani.
5. USHAWISHI/INFLUENCE
Ukiwa na ushawishi kwenye jamii basi wanawake wengi utawapata bila hata kutumia nguvu. Watakuja wenyewe tu, watakutaka wao na sio wewe maana huwa wanapenda kuuza.
6. AKILI
Yes, ukiwa na akili tu utapendwa wew😂, K**a ni shuleni basi kila mdada atataka awe kwenye group lako au mkae wote ku discuss. Ndio maana watu wenye akili mashuleni huwa hawapati tabu kuhusu wanawake labda wasiamue tu. Ndivyo walivyo hawa viumbe 😂
Kwa hiyo ukitaka wapishane kwako kuwa na kimoja kati ya hivyo...
Ila ukikosa vitu vyote hapo baba sahau watoto kukukimbilia, jiandae kuwafukuzia😂...
Nimeeleweka?
Tuishi humo ndugu zangu....
Nakupenda ❤️
№:+255742590541
Email:[email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Telephone
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 21:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 21:00 |
| Thursday | 09:00 - 21:00 |
| Friday | 09:00 - 21:00 |
| Saturday | 09:00 - 21:00 |
| Sunday | 12:00 - 21:00 |