29/10/2023
GMAKE BOY - EXCLUSIVE INTERVIEW NDANI YA DODOMA TV GMAKE BOY EXCLUSIVE INTERVIEW NDANI YA DODOMA TV
Jiungamanishe na Neno la Uzima tukihubiri injiri ya kweli kwa mataifa yote
29/10/2023
GMAKE BOY - EXCLUSIVE INTERVIEW NDANI YA DODOMA TV GMAKE BOY EXCLUSIVE INTERVIEW NDANI YA DODOMA TV
Bwana akuongoze uingiapo na utokapo
MAJARIBU
Majaribu ni mazuri endapo hauto anguka sababu majaribu uleta fadhili endapo ukifaulu na anguko endapo ukifeli.
MAJARIBU yanakuja kwa kuongozwa na roho wa Mungu K**a Yesu kristo alivyoongozwa na roho ili ajaribiwe jangwani Luka 4:1-13au kwa tamaa zetu wenyewe tukivutwa na kudanganywa yakobo 1 : 13
Tunapopita kwenye majaribu hali uwa ni mbaya katika ulimwengu wa mwili damu na nyama Ila niuponyaji katika ulimwengu wa roho. Yesu alikua na njaa baada ya kufunga siku arobaini kutokana na hali aliyopitia mjaribu akamjia Ila hakuanguka dhambini
Endapo hali unayopitia inakufanya utende dhambi ilo ndio anguko lako na endapo hali unayopitia inakufanya uwe mtakatifu ndio kuinuliwa kwako
Yani K**a Hali yako ya uchumi,biashara,afya inakufanya uende kwa waganga ,ukufulu,uabudu Miungu,kujipatia Mali kwa njia za kipepo ndio kuanguka kwako na endapo kujaribiwa kwako hakukupelekei kuwa mwenye dhambi ndio kuinuliwa kwako
Tuvumilie kila tujaribiwapo ili tupate kuinuliwa
Msingi wa somo ni mwanzo 20:1-18,mathayo4:11, 1cor 10-12 luka4:13
Mungu akakuondolee roho za kuchelewa na kucheleweshwa na Hali yako ya uchumi ikaimalike.kusiwe na uchawi wala pepo litakalokuzuia usiinuke
Kastawi na kuchanua katika biashara, kazi, ndoa,elimu,afya
Katika jina la Yesu Kristo