stevechampion17

stevechampion17

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from stevechampion17, Education, Dar es Salaam.

02/06/2026

Mchezaji gani alikufanya uupende Mpira?

02/06/2026

Unavyoona vijana wetu wanavyosakata Kabumbu tunashinda mabao mangapi leo?

02/06/2026

Mambo ya kuzingatia kwa kijana 25-30

01/06/2026

Ngumu kawaelewa wazungu.

UEFA wamefurahishwa sana na kiwango cha cha muamuzi Daniel Siebert katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Arsenal dhidi ya PSG

Watu wa karibu na mwamuzi huyo wanasema kuwa utendaji wake unatazamwa ndani ya taasisi hiyo k**a moja ya maonyesho bora zaidi ya uamuzi kuwahi kuonekana katika historia ya fainali za Ligi ya Mabingwa.

Hata hivyo, kwenye orodha rasmi ya waamuzi walioteuliwa kwa Kombe la Dunia 2026, Siebert hakujumuishwa. Ripoti mbalimbali za Aprili 2026 zinaonyesha kuwa mwamuzi pekee mkuu kutoka Ujerumani aliyechaguliwa ni Felix Zwayer, huku Daniel Siebert akibaki nje ya kikosi hicho.

Daniel Siebert hatachesha mechi za Kombe la Dunia 2026.

01/06/2026

Lipi Kombe bora la Dunia kwako?

01/06/2026

Wachezaji watakaoshiriki Kombe la Dunia 2026 hawataruhusiwa tena kwenda kwenye benchi la ufundi kupata maelekezo kutoka kwa makocha wao wakati golikipa anapokuwa akipatiwa matibabu uwanjani.

Hatua hiyo ni sehemu ya mabadiliko mapya ya sheria yaliyotangazwa na mkuu wa waamuzi wa FIFA, Pierluigi Collina, kwa lengo la kupunguza upotevu wa muda na kuongeza ushindani wa haki katika mchezo.

Unaionaje sheria hii mpya?

01/06/2026

Ureno watakuwa mabingwa wa Kombe la Dunia?

Hawa hapa na wakielezea makali ya timu hiyo.

Je unaona timu gani itashinda Kombe la Dunia?

31/05/2026

Chelsea mliwafungaje hawa washkaji na teka lenu Delap?

30/05/2026

Wareno watasumbua sana kwenye World Cup, timu wanayo.

30/05/2026

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam