10/07/2022
Industrial visiting St.Gaspar VTC - kunduchi
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from St.Gaspar VTC - kunduchi, Education, Dar es Salaam.
St.gaspar VTSC ni chuo bora cha ufundi katika fani mbalimbali kilianzishwa mwaka 1988 na Padre Dominico Alteri wa shirika la wamisionari wa damu ya Azizi ya yesu aliyekuwa paroko mwaka huo akishirikiana na viongozi wa shirika la jimbo.
10/07/2022
Industrial visiting St.Gaspar VTC - kunduchi
24/06/2022
It was beautiful day when we visited at bagamoyo historical sites and museums during workers day
14/06/2022
14/06/2022
Je umemaliza kidato cha nne na kwa bahati mbaya hujafaulu kuenedelea na masomo?? Basi jawabu lako limepatikana, chuo cha mtakatifu gaspar kilichopo kunduchi beach dar es salaam kinakukaribisha sana uweze kujiendeleza katika fani mbali mbali za ufundi stadi katika fani zifuatazo÷
1. Information technology (IT)
2. Electrical installation (ufundi umeme)
3. Motor vehicle mechanics (Ufundi magari)
4. Tailoring and design (Ushonaji na mitindo)
5. Carpentry and Joinery (ufundi selemala)
6. Beuty $ Hair dressing saloon(Urembo na ususi).
7. English course
8. Computer application
9. Catering (mapishi).
10. Driving (udereva)
Udahili unaendelea na ada zetu ni nafuu sana pia unaruhusiwa kilipa kwa awamu.
Karibu sana upate elimu bora ya ufundi kwa vitendo zaidi.
11/06/2022
Mwanachuo wa mwaka wa kwanza akiwa darasani anaendelea na kujifunza kwa vitendo
09/06/2022
Wanafunzi wa ushonaji na mitindo wakiwa darasani wakiendelea na kipindi. Karibu sana ST.Gaspar VTSC ujiendeleze na ujuzi mbalimbali. Tunafundisha kwa vitendo zaidi na tuna miundombinu ya kufundishia ya kisasa. Kozi zingne ni k**a ÷
INFORMATION TECHNOLOGY
ELECTRICAL INSTALLATION
MOTOR VEHICLE MECHANICS
CARPENTRY AND JOINERY
COMPUTER APPLICATION
HAIR DRESS AND SALOON
CATERING
Chuo kipo KUNDUCHI BEACH na ada zetu ni nafuu sana na unaruhusiwa kulipa kwa awamu.
08/06/2022
Wanachuo wa kozi ya TEHAMA (ICT) wakiwa wanafanya mazoezi kwa vitendo (Computer maintenance and repair). Udahili wa kozi za mda mfupi unaendelea. Fika kunduchi mtongani shuka kituo kinachoitwa kanisani!! Karibu sana ST.Gaspar kwa elimu bora
04/06/2022
Usajili unaendelea kwa kozi za mda mfupi.karibu sana chuoni
Welcome St.Gaspar VTC - kunduchi
06/01/2022
Welcome st gaspar vocational Training and service centre
Kwa elimu bora kwa maendeleo ya viwanda.
Https://www.stgasparmtongani.ac.tz
stgasparmtongani.ac.tz best college to study in tanzania
Welcome st gaspar VTC
Kwa elimu bora kwa maendeleo ya viwanda👨🎓👩🎓
| Monday | 08:00 - 16:00 |
| Tuesday | 08:00 - 16:00 |
| Wednesday | 08:00 - 16:00 |
| Thursday | 08:00 - 16:00 |
| Friday | 08:00 - 16:00 |