English Class East Africa

English Class East Africa

Share

Learn English Quickly and Easily.

05/10/2022

Ni muhimu sana mtu kujiendeleza katika lugha ya Kiingereza. Kiingereza ni lugha ya Dunia na Kwa sasa inazungumzwa na zaidi ya watu bilioni Moja na nusu. Hauwezi kuepuka lugha ya kiingereza kwenye biashara, elimu, kazi na maisha ya kijamii. Tunamaanisha kuwa, utakutana na watu ambao lazima wakuongeleshe kiingereza katika nyanja hizi mbalimbali. Ziko biashara ambazo haziendi pasipo lugha ya kiingereza na yapo mahusiano ya kikazi au kijamii ambayo hayatafanikiwa pasipo lugha ya kiingereza; na hata safari na fursa mbalimbali zinahitaji uwezo wa kuwasiliana kwa lugha ya Kiingereza.

Sasa usipoteze muda, ungana nasi Language Base Solutions ujifunze Lugha ya Kiingereza. Kupita mpango wetu wa Practical English Program, unaweza kujifunza lugha ya Kiingereza kwa miezi mitatu tu na kuweza kuzungumza, kusikia, kusoma na kuandika.

Tuna madarasa yafuatayo:

- Beginner 1: A1
- Pre-Intermediate: A2
- Intermediate 1: B1
- Intermediate 2: B2
- Advanced 1: C1
- Advanced 2: C2

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Mbezi
Dar Es Salaam