Tumche Allah tabaraka wata'ala
Hadithi Tamu Juu Ya Umma Wa Mtume Muhammadi - S.A.W
Tufuate yale anayo yataka ALLAH na tuache yale aliyo kataza ili tuwe wacha mungu
Kutia nia kwenye swala kwa kutamka ina swihi
"ewe ya allah tunakuomba waja wako utupe mwisho mwema pia tunakuomba utuongoze katika njia iliyo nyooka njia ya wale ulio waneemesha na si ya wale ulio waghadhibikia na walio potea pia tujaariye tuufike "ewe ya allah tunakuomba waja wako utupe mwisho mwema pia tunakuomba utuongoze katika njia iliyo nyooka njia ya wale ulio waneemesha na si ya wale ulio waghadhibikia na walio potea pia tujaariye tuufike "
RABII TAQABAL DUA'A
Ivi kusherehekea mwaka mpya ina swihi kiislamu.........................????????
maana kuna wazaz tayar wamesha waandaa watoto wao kwa ajir ya NEW YEAR 2021 au tunawapotosha tu watoto wetu
03/06/2020
Kwa mwenye kumswalia mtume mungu amuepushe kila na adhabu siku ya qiama
pia kwa mwenye kusambaza ujumbe huu na mungu amsambazie riziki yake kila atembeapo had siku ya uhai wake
31/05/2020
Japo kwa uchache mpe neno moja binaadamu mwezetu hata "allah akbar" inatosha
23/05/2020
Tunawatakia eid njema waislamu woote
20/05/2020
By ADMIN
swali la leo
ni tafsiri za sura ipi katika juzuu A'AMA
>wala[QUR'AN] si kauli ya shetani aliyefu>wala[QUR'AN] si kauli ya shetani aliyefukuzwa
>basi mnakwenda wapi
>hii[QUR'AN] ni waadhi kwa walimwengu
A]SURAT NNAZIAT
B]SURAT AL_TAKWIR
C]SURAT AMA
19/05/2020
By admin:
>swali la leo
Hizi ni aya za sura ipi kati ya hizi
a]surat yaseen
b]surat nuhu
c]surat muhammad
masahisho saa 6:00 usiku
18/05/2020
17/05/2020
Sura ipi ni moyo ndani ya kitabu kitukufu (QUR'AN) Kati ya
>surat l-fatiha
>surat yaseen
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
263
Dar Es Salaam
11103