narudi na SIMULIZI KALIII KAENI TAYARI🥰
Simulizi za Abuu lion
WHATSAPP/CALL/UJUMBE
,,📞0685086201
™ Simulizi za Abuu lion ★✓
Mwandishi wa story, script, movies,tamthilia.
🔥MATANGAZO YA BIASHARA
¹…BOOK,🔰Vitabu vya story
²…COVER,🖼️kava za vitabu,story,movies,script
³…EDITING,🖥️⌨️editing zote.
hivi bado nina mafans kweli ebu weka like🎖
10/12/2025
SIKU 82 ZA HEDHI
Episode:30
Mtunzi™ Simulizi za Abuu lion ✓
Bashiru alichanganyikiwa baada ya kugundua (koradani) zake zote hazipo aisee aliangua kilio kisicho cha kawaida na mkewe hakujua mumewe analilia nini, "we bashiru mume wangu unalilia nini?" Bashiru hakuweza kumjibu kila akifikiria kuwa korodan zake zimepotea alizidi kuchanganyikiwa kabisa.
Mwanamke alimsogelea na kumtizama mumewe nae akagundua kuwa mumewe hana tena mbegu duh sasa hii ndoa bila mbegu itakuwaje jamani, mke wa bashiru nae alizidi kuchanganyikiwa kabisa na kuropoka, "bashiru nilikukataza usiondoke ile siku kuongozana na juma haya tizama sasa mpaka sasa itakuwa je jamani aaaaaah,,
Upande wa pili zena akiwa na mumewe juma wako ndani ya gari wakirudi nyumbani kumbuka zena ameahirisha safar ya kuelekea nyumbani kwao ambako amefiwa na mama yake sababu majini yamempiga block kuona maiti ya mama yake kitu ambacho kimemfanya zena aweze kuahirisha safari ile, fikiria mama yako amekufa halafu unashindwa kwenda kumuona mbaya zaidi mama yake zena ametolewa k**a kafara ili zena awe huru na majini yawe yamevunja naemkataba ili zena awe huru kabisa.
Zena na juma walipita karibu na ile hotel kubwa ya zena iliyokuwa ikiteketea kwa moto aisee inaumiza sana lakini zena hakuona ajabu sababu (majini) yamemuahidi kuchukua asilimia 50 ya mali alizochuma zena kupitia wao hivyo kuungua kwa hotel hakuona ajabu kabisa.
Gari ya kifahari ya zena ilisimama na zena akashuka kwenye gari na kusogea eneo ambalo watu walikuwa wamejaa wakishuhudia hotel ile ambayo ilikua na mali nyingi tena ni yakifahari ikiteketea taratiibu.
Zena hakuwa na mawazo ya kuungua ka hotel zena baada yakushuka ndani ya gari akiwa anaitizama hoteli yake ikiungua alikumbuka maneno ya marehemu mama yake akiwamdogo mama yake alimwambia, "zena mimi ni mama yako nipo kwaajili yako nitakusimamia mpaka ukamilishe ndoto zako mwanangu nipo radhi hata kutembea (uchi) ili wewe ule uishi hivyo soma mwanangu kwani elimu ndio ukombozi wako kwani nyenzo ya kuishi vyema hapa duniani ni kuwa na pesa....
Zena alitoa machozi kwani maneno ya mama yakimchoma sana leo hij yeye ndie aliekuwa chanzo cha kuondoa uhai wa mama yake tena bila huruma daah aiseeilimuumiza sana zena.
Mfanyakazi wake mmoja alimsogelea akiwa amevalia suti nyeusi yeye alijua zena analilia ile hoteli ila hakujua kuwa zena anamtihani mzito ambao umeisha kwa maumivu, yule mfanyakazi wake wa kiume aliposegea karibu Na zena akamshik begani na kwamsalimia, "boss habari yako""najua unapitia magumu sana zena ila jipo moyo kwani hakuna marefu yasiyo na ncha mungu anaona hitaji lako"" zena hakumjibu chochote, ""lakini zena nadhani kuna jambo halijakaa sawa sababu kwanini hotel zako zote zinaungua kwa kupokezana kila leo isitoshe hivi tuvyoongea ni kwamba na ile sheri ya STAND KONA imeungua nayo leo muda huu, mimi nadhani kuna mtu anakuchezea mchezo"" zena akiwa ameangakia hotel yake huku chozi zikimtoka akamuuliza, "kwani rasilimali zangu zimebaki ngapi?
Yule kijana akamjibu, "kwenye rasilimalizako zote umebakiwa na kampuni moja na sheli mbili tu lakini hoteli 3 na sheli 4 pamoja na ile kampuni ya mwembezi vyote vimeungua.
Zena hakujibu akaondoka na kurudi ndani ya gari na juma akamfuata na wakaondoa gari eneo lile. Zena na mumewe juma wakiwa wameongozana na mtoto wa marehemu mona ambae alikuwa ni rafiki yake na zena wakafika nyumbani kwa zena kwenye ile nyumba ya kifahari na baada ya kufika pale getini walistaajabu kumkuta mke wa bashiru akiwa amesimama huku akilia kwa uchungu mkononi akiwa ameshikilia (kisu) akawafuata kwenye gari, juma akashusha kioo na kumuuliza, " shem vipi? " Mke wa bashiru akampiga kibao juma na kusema, "juma wewe ndio chanzo cha mumewangu kupoteza korodani zake na kwasasa mumewangu hana mbegu kumbuka nilishakukataza mazoea na mumewangu lakini hukunisikia sasa bas hapa siondoki bila kupata suluhu (mapumbu) ya mumewangu yanarudi au hayarudi na k**a hayatarudi juma, juma, jumaaa,, aaaaaa juma (nakuua)............
Itaendelea.
Msisahau kulike.
02/12/2025
SIKU 82 ZA HEDHI
Episode:29
Mtunzi™ Simulizi za Abuu lion
Joka likamwambia zena "nilikupa uhuru wa kuchague ukashindwa hivyo mimi nimechagua mwenyewe na kwasasa huna kafara inayokuandama upo huru ila bado hatujamaliza kugawana mali tumechukua 15% ya mali ulizonazo na bado asilimia 35% hivyo nakuoa taarifa kuwa kuma miradi yako mikubwa itakumbwa na ajali ndio itakua hatua ya kuchukua mali zetu ila kilichonireta hapa ni kimoja tu, ukifika msibani hutakiwi kuona maiti ya mama yako. Laasivyo kafara itarudi upya na tutakudai (damu) nyingi sana. Lile joka lilipomaliza kusema likapotea
Mume wa zena aitwae juma alikurupuka kutoka usingizini na kushangaa maana amelala ghafla tu, "vipi zena tuendelee na safari mbona umesimama?"
Zena alishindwa amjibu nini juma akatizama juu kwatafakari maana amepewa masharti magumu sana kwa upande wake juma akataka kuwasha gari zena akamwambia, "juma rudisha gari nyumbani" hee juma akashangaa inawezekanaje zena atoe amri gari irudi nyumbani maana walikuwa wanaelekea nyumbani kwao na zena kuna msiba zena amefiwa na mama yake mzazi ikiwa k**a (kuvunja) kafara na awe huru.
"Zena mke wangu makubaliano ni kwenda msibani imekuwaje umeghairisha kwenda msibani?" Aliuliza juma zena akamjibu "nimeona nisiende na usiniukize maswali mengi" juma hakutaka kusikia akasema kwa kusisitiza, "kumbuka yule ni mama yako mzazi zena uwe na tafakari muda mwingine" zena akapaza sauti na kusema, "hivi juma unatka nisemee kwenye (matako) ndio unielewe?"
Juma ilimbidi arudishe gari nyumbani lakini juma alizidi kutafakari juu ya mambo yanavyokwenda na juma hajui kuwa mkewe zena anamali za kafara japo ameshaanza kuhis ju ya hili ila hana uhakika kabisa.
Wakiwa ndani ya gari kurudi nyumbani zena akapigiwa simu tena akapokea, "haloo
" Eeeh boss kwema?
"Kwema nambie ema
" Boss sheli zako mbili zimeungua muda huu na ile hoteli yako ya maria center imeungua pia
Zena aliishia tu kusema, "sawa" kisha akakata simu na jasho lilimtoka kisha akamjuza juma ile taarifa ya kuungua kwa ofisi zake, lakini zena alijua tu kuwa majini yanachukua mali asilimia 50% walizomuahidi hivyo hakuona ajabu rasilimali zake kuungua moto.
Upande wa pili nyumbani ka bashiru akia na mke wake ndani na ukumbuje bashiru kazuiliwa na mkewe kutoka kwenda kazini mwanamke akidai kwamba amemmisi baada ya bashiru kusafiri kwa siku kadhaa alipokwenda msibani.
Basi bashiru akiwa hoi baada ya (kusex) na mkewe muda huo amelalia kifua cha mkewe huku wote wawili wamelala k**a mnavyojua mkiwa wote mnaridhishana laazima kila mtu awe hoi baada ya mshindo kufika mwisho hasa pale amani ndani ya nyumba inapokuwa imeshamiri.
Basi bashiru akiwa amelala baada ya mshindi wa bao kadhaa akaotesha ndoto alijikuta yupo ufukweni mwa bahati na ghafla joka lilimtokea lile lile joka linalomtokea zena mala kwa mala bashiru aliogopa sana nakutaka kukimbia ajabu ni kwamba kila alipotaka kukimbia miguu ilimezwa na mchaga wa ufukweni na joka likamsogelea na kumwambia, "usiogope bashiru ila ninachotaka kukujuza tu kuwa umefanya makosa kumsimulia mkeo mambo yaliyokutokea kule safarini nami sitakuua ila nimeshachukua kiuongo chako kimoja k**a adhabu , nimechukua korodani (pumbu) zako na kwasasa huna uwezo wa kuzalisha tena, like joka likamng'ata sehemu zake za siri bashiru akapiga kelele mpaka akaamka kutoka usingizini na kupumua kwa kasi, kelel zile zilimuamsha mkewe, " bashiru umepatwa na nini mumewangu"
Bashiru hakuweza kumjibu mkewe kwa muda huo, alichokifanya akajitazama kwenye maumbile yake na ukweli ni kwamba korodani au (pumbu) zote mbili hazikuwepo tena aiseee bashiru alizimua pale pale.......
Tujifunze kukaa kimya kamdomo katakuponza.
Itaendelea.
Usisahau kulike na kushea asanteni kuanzia sasa nachapisha kila siku.
28/11/2025
SIKU 82 ZA HEDHI
Episode:28
Mtunzi™ Simulizi za Abuu lion ✓
Zena alikuja kupata fahamu baada ya muda mrefu kupita na kilichompelekeampaka kuzimia ni baada ya kupokea taarifa kuwa mama yake mzazi amefariki dunia.
Zena alipozinduka alikumbuka maneno ya lile (joka) la kafara joka lilimueleza kuwa anayakiwa (atoe) kafara ili yeye ajitoe kwenye hali ya kushirikishwa kwenye mali za kafara maana mwenye kafara rafiki yake mona ameeha fariki.
Juma akiwa k**a mume alimsihi na kumbembeleza zaidi zena pia akimpa faraja lakini muda huo juma alikuwa akijiulizaz "au zena amemtoa mama yake kafara nini huyu maana mpaka sasa sina amani na zena hata kidogo"
Siku iliyofuata asubuhi na mapema juma pamoja ja zena walijiandaa kwaajili ya kwenda msibani ambako mamayake na zena amefariki dunia,.
Upande wapili nyumbani kwa bashiru akiwa na mkewe ndani akimsimulia mambo aliyoyakuta huko msibani walikokwenda yeye na juma, bashiru alisimulia yote kwa mkewe na alisisitiza kuwa zena anatumia mali za kafara si bure kabisa, ghafla simu ikaita alipotizama namba alikuwa ni juma, "sijui anataka nini huyu najuta hata kuwasha simu" alisema mke wa juma.
Mke wake akamwambia muda huo wapo kitandani wote wawili. "Mpokee tumsikie anashida gani" bashiru akapokea, "halooo"
"Eeeh bashiru habari yako?
"Salama juma vipi kaka uko poa?
"Si poa bashiru mke wangu zena amekutwa na (majaga)
"Yapi tena?
"Mama yake mzazi kafariki jana usiku sasanimekupigia hata hupatikani sasa nilikuwa naomba saport yako ya kunisindikiza msibani.
"Ooh ok ebu ngoja kidogo nakupigia
Bashiru alikata simu, " bashiru mimi sitaki uende huko k**a mimi ni mkeo sitaki maana wasije wakakutoa roho bure"
Alisema mke.
"Sasa mke wangu huyu ni rafiki yangu nisipomuunga mkono nitakua rafiki mnafiki niruhusu basi.
"Sitaki! Kwani huyo rafiki yako ndie anakuvulia (nguo) haya kati ya mimi na huyo nani anathamani niambie"
Bashiru alishikwa na kigugumizi, "sasa nisikilize bashiru ukithubutu kuondoa mguu wako hapa namimi nafungasha mizigoyangu naondoka" mwanamke aliongea kwauchungu na kugeukia pembeni bashiru akamsigelea mkewe na kumbembeleza, mke hakutaka kumsikiliza na baada ya mudabashiru aliomba aende kazini mke wake akamwambia, "leo sitaki uende kazini nilikumis bana" mwanamke aliongea kwa kudeka na kumsogelea bashuru kisha akamshika kule kunako na kuanza kumchua huku akideka juu ga kifua na kumpa mate taratiibu. Simu ya bashiru iliitatena mke wake akaichukua na kuizima kisha akarudi kifuani kwabashiru nia yake bashiru asitoke.
Upande wa pili nyumbani kwa zena akiwa ndani ya gari na mumewe juma pamoja na mtoto wa marehemu mona maana kwasasa mzazi wake mlezi ni zena hivyo huyundie mama yake kwasasa.
"Juma rafikiyako anaonesha hataki kuongozana nawewekwenye hii safari haina haja ya kumsumbua kumpigia simu" zena alimwambia mumewe kwa upole huku chozi zikimtoka kwa kasi sana, basi safari ilianza na ukumbuke jana tu wametoka msibani kwa marehemu mona kule kijijini, wakiwa kwenye gari wakielekea nyumbani kwao na zena mkoa wa tanga dereva alikuwa ni juma, ghafla numa alisimamisha gari na kulala pale pale pamoja na kale katoto ka marehemu nakenywe k**a lala ghafla zena alishangaa lakini alijua kuwa kuna kitu ndiomaana mumewe amelala ghafla tu.
Pale pale lile joka lilimtokea zena kupitia nyuma yamgongo k**a kawaida, "umefata nini wakati mimi na nyingi tumemalizana? Na kwanini umemchagua mama yangu?"
Aliulisa zena lile joka likajibu, "nilikupa uhuru wa kuchague ukashindwa hivyo mimi nimechagua mwenyewe na kwasasa huna kafara inayokuandama upo huru ila bado hatujamaliza kugawana mali tumechukua 15% ya mali ulizonazo na bado asilimia 35% hivyo nakuoa taarifa kuwa kuma miradi yako mikubwa itakumbwa na ajali ndio itakua hatua ya kuchukua mali zetu ila kilichonireta hapa ni kimoja tu, ukifika msibani hutakiwi kuona maiti ya mama yako. Laasivyo kafara itarudi upya na tutakudai (damu) nyingi sana.
Itaendelea.
Msisahau kulike na kushea asanteni.
Jamani nilifunguwa acount yangu ila soon nitarejea
23/11/2025
SIKU 82 ZA HEDHI
Episode:27
Mtunzi™ Simulizi za Abuu lion ✓
Safari ya zena na mumewe juma pamoja na bashiru ilianza na juma pamoja na wote walippanda gari moja maana gari ambayo juma na rafiki yake bashiru walikuwa wamekujanayo imepata (ajali) ile siku wanakuja msibani kwenye msiba wa mona kwabahati mbaya wakamuona marehemu waliokuwa wanakwenda masibani akiwa amesimama njiani ndipo wakahama njia na kwenda kugonga mti.
Lakini pia waliondoka na mtoto wa marehemu maana ndio agizo la marehemu kabla ya (kifo) chake kuwa mtoto wake alelewe na zena ili afaidi mali za mama yake maana mali zote alizonazo zena ni mai za marehemu mona maana ndie alietafuta kafara lakini kutokana na kukosea masharti ndiomaana mali ilirudishwa kwa zena k**a msimamizi.
Mama mona alibaki pekeyake nyumbani ila zena alimuahidi kulipia ile mifugo iliyokufa,
Safari iliendelea mpaka pale ambako juma na bashiru walipatia ajali na zena alisimamisha gari na wakashika wotekwenda kushuhudia ajali ilivyokuwa, kwahakika ajali ilikuwa mbaya sana kiasi kwamba ile gari haikuwa ikitamanika na kwa ile ajali ilivyokuwa zena akamgeukia mumewe na kumuuliza, "hivi mmepona vipi kwa ajali hii jamani?" Hakika ilikuwa ni ajali mbaya sana haifai kusimulia.
Zena alichokifanya akatoa simu na kupiga, "haloooo, ni mimi zena naombeni mje mkongole kwenye pori la mkongole kuna gari imeharibika hapa ilipata ajali mtafuata diraction mimi ninasafari chukua garu ya kampuni mje mchukue hii gari" kisha zena akakata simu na kurudi ndani ya gari hakika zena alikuwa ni bahiri yaani hataki kutupa gari kizembe amedhamiria gari ifatwe.
Hatimae usiku uliingia na gari ya zena ndio ikaingia mjini hakika safari ilikuwa ni ndefu kutoka kijijini kwao na mona mpaa kuuona mji, gari waliyokuwa wamepanda ilikuwa imejaa vumbi ikiashiria walikotoka ni porini sana.
Hatimae bashiru alielkea kwa mkewe na juma pamoja na zena wakaelekea nyumbani kwao wakiwa wameongozana na mtoto wa marehemu, walifika salama ndani nyumba ya kufahari ambayo zena alikuwa akiishi na mumewe na hawakuwa na mtoto hata mmoja inamaana mtoto wa marehemu mona ndie atakua faraja kwa zena na juma.
Walifika na kuketi sebuleni wote wakiwa hoi kwa safari ya muda mrefu sana zena juma akamwambia mkewe, "unatakiwa utafutw mfanyakazi wa ndani maana kwasasa tunamtoto" zena alimtazama mumewe kwa hasira na kumwambia, "wewe mbona huwa hauwazi mambo ya msingi unawaza (ujinga) tu kwani mimi sijui kwamba nina mtoto kwasasa baada uwazie hoteli zilizoungua wewe unawaza (usenge) tu, k**a unavyojua mwanamke akiwa na pesa hatakam anakupenda laazima atakuwa na kakiburi fulani ka kukujibu atakavyo.
Zena alisimama huku akisonya na kumshika mtoto wa mona, "twende mwanangu ukaoge kisha nikuandalie chakula"
Juma alibaki pale sebuleni pekeyake ghafla simu ya zena ikaita na alikuwa ameiacha pale kwenye sofa sebulen, zena alirudi haraka na kuchukua simu yake namba ilikuwa na jina masoudi@ zena lipokea simu, kitendo cha kuweka simu sikioni zena alisalimia tu kisha akamsikiliza aliempigia pale pale zena alianguka chini na kupoteza fahamu mumewe alimdaka maana alikuwa anakwenda kupigiza kichwa chini haijulikani nini kimemkuta au kuna taarifa gani, juma alishangazwa sana na kuanza kumuamcha mkewe lakini zena hakuamka, mudahuo simu bado ipo hewani juma si akaichukua na kuweka sikioni, "we shemeji kuna nini mbona dada yako ameanguka chini kuna taarifa gani?" Aliuliza juma kwa hofu huku zena akiwa amelala miguuni pa mumewe, ilisikika sauti ikisema kumwambia juma, "shemeji mama mkwe wako amepoteza (maisha) alikuwa anaoga bafuni ghafla akadondoka na kufia hapo hapo..
Itaendelea.
Jamani naombeni like zenu na maoni yenu asanteni.
21/11/2025
SIKU 82 ZA HEDHI
Episode:26
Mtunzi™Abuu lion
Siku nyingine tena kumekucha mapema sana mama mona akiwa na zena pamoja na juma bila kumsahau bashiru pamoja na mtoto wamarehemu mona wakiwa sebuleni mezani wakipata chai kwa pamoja mama mona akamwambia zena, "zena nakupatia mjukuu wangu hakika sinashaka na wewe mlee k**a utakavyo mlea mtoto wako na nitafurahi sana k**a utamjali mtoto wa rafiki yako mona,
Zena kwa tabasamu akajibu, "mama usijali mimi nipo na wewe nakuhakikishia kuwa nitamtunza na kumlea kwakadrii ya uwezo wangu.
Mama mona akatoa kikopo kidogo sana kilichokuwa kimefunikwa na kumpatia zena kisha akasema, "mwanangu mona kabla hajafikwa na umauti alinipatia kitu hiki nikupatie na sijui ni kitu gani na ameniachia maagizo kuwa unajua pa kukipeleka hiko kitu kilichopo ndani ya kiko hicho" zena alishikwa na hofu kidogo na kukipokea kile kikopo na kutabasamu ""aaah asante sana mama".
Muda wa safari ya zena kurudi mjini na mumewe juma pamoja na bashiru ulifika na zena akiwa ndani yachumba pekeyake ndio akakifunua kile kikopo alichopewa na mama mona kabla ya safari kuanza, zena akakifungua kile kikopo ajabu ni kwamba zena alishikwa na hofu baada ya kutazama ndani kile kikopo na akazamisha na kutoa cheni ya dhahabu ndipo zena akakumbuka maneno ya marehemu rafiki yake mona kabla hajafa alimpigia simu na kumwambia, "zena kuna kitu nimepatiwa na mganga nikupe kitu hiki ndio kimebeba mali zote hizo ulizonazo na kwakuwa mimi nimekosea masharti na nimekupatia wewe kafara hii basi unatakiwa nikupatie kitu hiki ni muhimu sana"
Zena akamuuliza mona, "kitu gani hicho mona?"
Mona akajibu, "ni cheni ya dhahabu ambayo baada ya mimi (kufa) maana mimi ndie niliekosea masharti ili mali zako zisipotee siku nikifa nivalishe cheni hii ya dhahabu nizikwenayo laasivyo k**a hutafanya hivyo unatakiwa uivalishe maiti ya ndugu yako (atakaekufa) baada ya kifo changu maana (jini) litaomba kafara k**a hutaivisha maiti yagu cheni hii na (kafara hiyo itakuwa ni (kuua) ndugu zako au kizazi chako usipate watoto miaka yako yote na hii ni sababu nikifa mimi wewe hautahusika na kafara tena kafara itakuondoka.
Duh zena alikumbuka cheni hii na alifanya uzembe kuichukua kutoka mikononi mwamarehemu ndio sababu hata ile siku joka lilimtokea na kumtaka atoe (kafara) ili awe huru.
Zena alijikuta akitokwa na machozi ghafla simu yake ikaita zena akapokea, "haloo mery hujambo"
Simu""sijambo boss zena mzima wewe
Zena""mimi mzima kampuni zinaendaje?
Simu""kwakweli hali sio njema zile hoteli zako tatu zote zimewaka moto mchana asubuhi hii hii hivi tunavyoongea mjini hakukaliki moshi kila kona.
Zena alikata simu na jasho kumtoka sio mchezo hoteli tatu zote kuungua kwa wakati mmoja ndipo akakumbuka lile joka lilimwambia kuwa, "tutatoa 50% ya mali zako na wewe utabaki na 50% " zena aliishiwa pozi maana ana alikuwa na hoteli 3 na kampuni 1 na sheli 4 inamaana bado kuna miladi itaendelea kuteketea.
Itaendelea.
Jamani msisahau kulike na kutoamaoni yenu.
19/11/2025
SIKU 82 ZA HEDHI
Episode:25
Mtunzi™ Simulizi za Abuu lion ✓
Mama mona akiwa analia huku mikono ameweka kichwani akimtazama yule mtu alielala pale (kaburini) wote walisogea na kushuhudia tukio na kila mtu alishikwa na hofu kwani aliekuwa amelala juu ya (kaburi) alikuwa ni marehemu mwenyewe aliezikwa ndani ya kaburi ilo tena akiwa hana (kichwa) k**a alivyozikwa.....
Mama Mona alikumbuka maneno ya mganga wake alimwambia kuwa, "mama mona ili kaburi la mtoto wako liishiwe mauzauza hakikisha anaetakiwa kuweka mashada au maua ni rafiki yake zena tu wengine hawatakiwi, hivyo mama mona aliona huu ndio wakati wamtotowake kupumzika maana kila siku ni mauza uza sasa tazama k**a leo ameikuta maiti iko juu ya kaburi tena haina (kichwa) duh ilimmaliza nguvu mama mona.
Mama mona akamgeukia zena na kumwambia, "zena nadhani mwanangu amefariki katika mazingira ya kutatanisha ila nakusihi wewe ndie uliekuwa rafiki yake wa karibu ebu weka zawadi yoyote juu ya kaburi la mwanangu ili umuage" zena alishangaa sana akamuuliza mama mona, "sasa mama nitaweka vipi ua juu ya kaburi ilihali marehemu bado yupo kwenye kaburi lenyewe?
Mama mona alishindwa hata ajibu nini (inaumiza) sana aliishia kulia tu, juma na bashiru wao wakiwa pembeni nawao wakistaajabu na kutizamana kwa mshangao sana, bashiru akamuuliza juma kwa sauti ya chini, "kaka umeona sasa nilichokuwa nakuambia yaani mkeo zena na rafiki yake marehemu mona kunakitu wefanyiana kwenye (kafara) yao sasa mambo gani haya kuikuta maiti juu ha kaburi lake mwenyewe tena haina kichwa we huoni k**a mi changamoto hii?
Zena hakuja na chochote pale kaburini lakini alijitazama kifuani kwake akakumbuka amevaa cheni ya thamani cheni ya gold iliyokua ikigharimu thamani yake nik**a milioni 20 shilings za kitanzania hivyo akavua cheni ile na ile cheni aliwahi kupatiwa na marehemu siku ya harusi yake hivyo aliona hii ndio zawadi pendwa kwake akaivua ile cheni na kusogea karibu na kaburi ambako ile maiti bado ilikuwa imelala kisha zena akafumba macho na kuweka ile cheni tya dhahabu juu ya mwili wa marehemu, kitendo cha kuweka tu ile cheni ghafla hali ya hewa ikabadilika upepomkali ulianza kuvuma kwa kasi hapo bashiru na juma wakiwa wanatetemeka k**a kuku anaeumwa kideli.
Upepo ukiwa unavuma ghafla radi kali ilipiga pale kaburini na (kuchana) kaburi kisha maiti ikaingia na kujifunika upya na kaburi lile lilikuwa ni la udongo lakini lilibadilika na kuwa na udongo mgumu ambao haukatiki hata kwa jembe kisha juu ya kaburi yakabaki maneno ya kijerumani yaliyokuwa yakisema hivi,
Wir mussten diese Formulierung wählen, damit niemand versteht, was wir euch sagen wollten. Nun liegt die Verantwortung für das Opfer nicht mehr in eurer Hand, und wir haben, wie versprochen, begonnen, 50 % einzustreichen. Akzeptiert also das Ergebnis. Lebt wohl zena.
Yakiwa na maana kwamba,
"imebidi tutumie lugha hii ili wengine wasielewe tunachotaka kukuambia, kwasasa kafara imeshaondoka mikononi mwako na tumeanza kuchukua 50% k**a tulivyo kuahidi hapo mwanzo hivyo kubaliana na matokeo sasa kwaheri zena"
Maneno yale zena aliyaelewa maana ameshafunuliwa upeo ma majini ya (kafara) zena anakuja kugeuka nyuma hakumuona mumeo na rafiki yake bashiru alipotizama kwa mbali aliwaona wakiwa speed wakikimbia ka tukio lile la radi kupiga kaburi. "Zena kwani kunanini baina yako na mtoto wangu marehemu mona? " Aliuliza mama wa marehemu mama mona, zena akamshika begani nakumwambia, "mama nadhani huu sio muda wa kutafakari huu upepo ni mkali saa tuondoke ila hakuna chochote baina yangu na mtoto wako.
Upande wa pili kule msibani kwa marehemu mzee kifaru mganga nguli wakijiji maiti yake imegoma kuachia kidole cha kaka yake imekibugia mdomoni na kuking'ata kwa meno na bado kaka mtu aliendelea kulia kwa uchungu lakini sharti lililopo ili maiti iachie kidole anatakiwa yule alieng'atwa kidole ashiriki (tendo) na mama yake mzazi na ukumbuke marehemu pamoja na yule alieng'atwa wametoka tumbo moja yaani mama yao ni mmoja na maiti imegoma kuachia kidole cha kaka yake kwasababu kaka alishawahi kumzalisha (mke) wa marehemu mtoto wa pili, jamani tujifunze kujizuia na tamaa mke/mume unae lakini tamaa tu.
Muda huo mama mzazi yupo ndani, mama akaona atumie roho ngumu (akavua) nguo na kumvua nguo pia mtoto wake aliekuwa ameng'atwa kidole akilia kwa (uchungu) wa maumivu yakidole kikivuja damu maana mdomo wa maiti wote ulienea (damu) ya kidole, mama akaona mtotowake anapitia wakati mgumu akaona achukue maamuzi alipomvua, kaka wa marehemu akaona aibu akafunika uso wake kwa kiganja cha mkono wa kulia kisha mama akashika (mboo) ya mwanae iliyokuwa imesimama vyema na kumsogelea kwa karibu huku chozi zikimtoka na kujishindilia (ukeni) (uume) wote ukaingia ndani kitendo cha mama kuzamisha tu (uume) wa mtoto wake pale pale maiti iliachia kidole.............
Itaendelea.
Jamani mkiendelea kulike kwa wingi mnanipa nguvu asanteni sana mungu awabariki.
17/11/2025
SIKU 82 ZA HEDHI
Episode:24
Mtunzi™ Simulizi za Abuu lion ✓
Mke wa mzee kifaru alikataliwakuingia ndani ambako maiti ya mumewe ilikuwa ikioshwa kwa muda huo, na sababu ya kukataliwa ni kwamba maiti ya mumewe ikiwa inaoshwa ghafla aliekuwa akiiosha maiti si akapeleka kidole kwenye mdomo wa maiti na maiti ikashika kidole kile bila kuachia, wamefanya kila mbinu kukitoa kidole lakini haikuwezekana.
Haraka mama wa marehemu aliitwa maana ndie aliemfundisha marehemu (uchawi) yaani mama yake na mzee kifaru akaitwa ili wamuhoji kwanini maiti ya mtoto wake imegoma kuachia kidole cha mtu aliekuwa akimuosha na isutoshe ni kidole cha kaka yake na marehemu.
Mama alipofika akaingia ndani ya chumba ambacho marehemu mtoto wake mzee kifaru alikuwa amelazwa na ndugu wa kiume pekee ndio wakaruhusiwa kuingia yule mama alipofika alimtazama mtoto wake ambae ni mzee kifaru aliekuwa mganga nguli kisha akasema maneno kilugha akasema, "mwanangu umeshaumaliza mwendo wako hivyo usiwe na hasira tena na ndugu zako muachie kaka yako kidole kwani unamuumiza muachie nakuomba.
Ingawa mama alisema maneno yote hayo lakini maiti ya mzee kifaru iligoma kuachia kidole ndipo mama akatumia njia mbadala akatoa mkia wa kondoo aliokuwanao kwenye mkoba wake yule mama alikuwa ni mzee sana umri umeenda mno hata kutembea alitembea kwa shida sana,
Basi yule mama alipoona kimya akafanya tambiko fupi lililochukua k**a dakika 13 lakini bado maiti iligoma kuachia kidole.
Yule mama alipona hali imekuwa mbaya maana yule aliekuwa ameng'atwa kidole alikuwa akiendelea kulalama kwa maumivu makali k**a unavyojua uking'atwa kidole maumivu yake na maiti iling'ata haswa mpaka kidole kilikuwa kikitokwa (damu) nyingi sana.
Yule mama akapaza sauti kwakusema, "naombeni mtoke ndani wote mniache mimi na maiti ya mwanangu pamoja na huyu alieng'atwa kidole.
Walitii amri wote walitoka, ndani akabaki mama wa marehemu pamoja na marehemu mwenyewe bila kusahau yule alieng'atwa kidole na sijui kwanini huyu bibi kaamua kutimua watu huwenda kunakitu anataka kufanya, yule bibi alibaki na watu wawili ndani ambao wote ni watoto wake ila alieng'atwa kidole ni mkubwa kuliko marehemu ila wote ni watoto wake, yule bibi akamwambia yule alieng'atwa kidole kwa sauti ya upole, "pole sana mwanangu unajua kwanini mdogowako amekung'ata kidole? Kwasababu (ulilala) na mke wake kipindi yupo hai na ukamzalisha mkewe mtoto wa pili kosa ambalo mizimu mpaka leo (inachuki) na wewe na ili laana hii itoke na usamehewe natakiwa mimi mama yako (nivue) nguo kisha wewe (ulale) na mimi ndio utafaulu laasivyo kidole kitabaki hapo au kitaoza kabisa...
Upande wa pili kule nyumbani kwa mama yake na marehemu mona akiwa ameongozana na zena pamoja na mume wa zena aitwae juma na rafiki yake na juma aitwae bashiri jumla walikuwa wanne na mama mona alikuwa anawapeleka kaburini ambako amezikwa mtoto wake mona, walifika mpaka karibu na kaburi ajabu ni kwamba mama mona akasimama kwa mshangao na kutizama kaburini zena akamuuliza, "mama vipi mbona umesimama twende?" Mama mona akanyoosha kidole na kusema, "juu ya (kaburi) la mtoto wangu naona kunamtu amelala wanakijiji wananichokonoa mpaka nisipochokonoka sasa subiri," zena alipotizama na wale wengine waliona kweli kuna mtu amelala chali tena yupo (uchi) bashiru aliogopa, "kaka juma mimi naomba niishiae hapa maana naona kabisa utumbo unatikisika oooh kaka siwezi" juma alicheka na kumsihi waendeleee tu kwani hakuna kibaya. Juma alimfosi sana bashiru waende na baadaya yakufika kaburini mama mona aliangua kilio maana yeye ndie alikuwa mbele akielekeza hivyo akawahi kufika, mama mona akiwa analia huku mikono ameweka kichwani akimtazama yule mtu alielala pale (kaburini) wote walisogea na kushuhudia tukio na kila mtu alishikwa na hofu kwani aliekuwa amelala juu ya (kaburi) alikuwa ni marehemu mwenyewe aliezikwa ndani ya kaburi ilo tena akiwa hana (kichwa) k**a alivyozikwa.....
Itaendelea.
Usisahau kulike na kutoa maoni jama i kulike sio kazi acheni roho mbaya.
14/11/2025
SIKU 82 ZA HEDHI
Episode:23
Mtunzi™ Simulizi za Abuu lion ✓
Wale watu ambao haikufahamika wanatoka wapi na ni akina nani maana walikuwa watatu na chakushangaza wale watu walikuwa ni warefu mno na mmoja kati yao aliekuwa katikati alikuwa ameshika kichwa cha (marehemu) mona kikiwa kinabubujisha wadudu yaani fuza.
Zena alipowatizama alikumbuka kuwa hawa watu alishawahi kuwaona kipindi wameenda yeye na marehemu mona kwa mganga kutafuta (mali) za kafara na mganga aliwaeleza kuwa ili awape dawa basi wanatakiwa kulala na viumbe hawa mpaka asubuhi na zena pamoja na mareheu mona walikubali kufanya nao (mapenzi) wale watu na ikawa k**a ilivyopangwa zena akajiuliza imekuwaje waje tena mapema hivi? Tena wamejifunika nyuso zao na wamevalia mavazi meusi.
Mmoja kati ya wale watu watatu akapaza sauti na kumwambia zena, "usijali hakuna anaetuona live zaidi yako hivyo kuwa na amani, kilichotureta hapa ni kuteketeza kafara yako nawewe utakuwa huru kuanzia sasa" yule mtu aliekuwa ameshikilia kichwa cha (marehemu) mona akakitupa chini kikiwa kinatoa (fuza) wakubwa kikifuatiwa na harufu kali ogopa sana kichwa cha mwanadamu kikioza yaani harufu yake ni pambe sana hivyo baada ya kukitupa kichwa chini yule mtu akanyoosha mkono kwenye kile kichwa cha (marehemu) mona kile kichwa kikawaka moto palepale na kikateketea kisha wale watu wakatoweka.
Watu wote mle ndani walishikwa na bumbuwazi maana hawajui kinachoendelea mama mona akauliza, "hivi hii harufu kali ni ya kitu gani maana ghafla sana jamani" zena akavunga kwa kusema, "mmh hatamimi nimeihisi harufu hii sijui nini. Mume wa zena pamoja na bashiru wakaomba watoke kidogo waelekee kijiweni kusuuza macho.
Juma na bashiru walitoka umbali kidogo na pale nyumbani, bashiru akamuuliza juma, "mh kaka mimi simuelewi mkeo kuna kitu zena anatuficha maana naona mauzauza mimi naomba nitangulie nyumbani nirudi tu nyumbani maana tangu nimefika naona mauzauza fikiria tumepata (ajali) ambayo chanzo cha ajali ni mauzauza tu sasa nisije nikatolewa kafara bure haya tizama tumepata ajali porini tukazimia tumekuja kuzinduka tupo kwamgaga wewe huogopi?
Juma""bashiru uko sawa kabisa maana hatamimi sielewi ila nadhani tuendelee kumpa ushirikiano zena ukweli tutaufahamu.
Bashiru""kaka acha uzwazwa wewe, sasa unataka kuujua ukweli upi hivi haujui kwamba unawezakujikuta wewe ni marehemu au msukule? Mimi naomba niondoke yaani moyo haunipi kukaa hapa.
Juma""bashiru wewe ni rafiki yangu naomba unisikilize leo tulale kesho tuamkie safari hakuna baya litakalo kupata.
Kule msibani kwa marehemu mzee kifaru yule mzee mganga nguli wa kijiji mambo yamepamba moto watu wakiwa msibani ghafla kunawatu walitoka ndani kwa speed wakikimbilia nje kila mtu alishangaa mke wa marehemu akiwa katikati ya kundi la wanawake wenzie akasema, "sasa mbona waliokwenda kuosha maiti nao wanatoka ndani huku wakikimbia?" Mke wa marehemu akasimama na kuelekea ndani ya kile chumba ambacho mwili wa merehemu ulikuwa ukioshwa huku akiwa na uso wa tafakari asijue nini kinaendelea. Alifika mpaka mlangoni na alipofika muda huo kuna mbaba alikuwa anatoka ndani mlemle ambao maiti ilikuwa ikioshwa, mke wa marehemu mzee kifaru akamsalimia kilugha ya kinyamwezi kwa kupiga magoti k**a ilivyo jadi ya baadhi ya makabila, "baba mkwe mwangaluka" kumbe alikuwa ni baba mkwe wake, na baba mkwe akaitikia.
"Mwangaluka mwadila mpola?"
"Mpola baba mkwe.
Baba mkwe akamwambia mke wa marehemu, "huruhusiwi kuingia ndani kwasasa mama.
Mke wa mzee kifaru akazuiliwa kuingia ndani na baba mkwe wake, "kwani kuna nini baba?" Aliuliza mke wa marehemu mzee kifaru.
Baba mkwe akajibu kwa unyonge, "maiti ya mumeo wakati tunaiosha ghafla imemng'ata kidole kaka yake na tumejitahidi kutoa kidole kwenye mdomo wa marehemu kidole kimekataa kutoka hivi saizi shemeji yako yupo ndani analia na damu zikizidi kumtoka na maana nadhani unajua maumivu ya kidole............
Itaendelea.
Jamani wengi wenu mnasoma story ila hamlike ebu like na coment basi hapo chini.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Telephone
Address
Kirumba
Dar Es Salaam
KIJUBU