julieth.njau

julieth.njau

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from julieth.njau, Education, Dar es Salaam.

27/03/2026

Mungu K**a kuna cha
kupunguza ndani ya Moyo
wangu
โ†’ basi Nakuomba
nipunguzie hasira

23/03/2026

๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” ๐’๐Š๐˜๐Œ๐€๐‘๐“

Karibu kuagiza bidhaa kwa urahisi na salama, tupigie simu au tutumie ujumbe wa WhatsApp kupitia namba zifuatazo:

๐Ÿ•น๏ธ Skymart Madale: 0717 766 607
๐Ÿ•น๏ธ Skymart Tegeta A: 0658 176 111

๐‘จ๐‘ฎ๐‘ฐ๐’๐‘จ ๐‘ต๐‘จ ๐‘บ๐‘ฒ๐’€๐‘ด๐‘จ๐‘น๐‘ป ๐’•๐’–๐’Œ๐’–๐’๐’†๐’•๐’†๐’† ๐’‘๐’๐’‘๐’๐’•๐’† ๐’–๐’๐’Š๐’‘๐’ ๐’Œ๐’˜๐’‚ ๐’‰๐’‚๐’“๐’‚๐’Œ๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’”๐’‚๐’๐’‚๐’Ž๐’‚.

Karibu sana Skymart Supermarket

๐’๐ญ๐š๐ฒ ๐ฐ๐ข๐ญ๐ก ๐ฎ๐ฌ |
๐–๐ž ๐ก๐š๐ฏ๐ž ๐ข๐ญ ๐š๐ฅ๐ฅ

13/03/2026

๐Ÿ™

02/03/2026
20/02/2026

AGIZA NA SKYMART

Asante kwa kuendelea kuwa mteja wa Skymart Supermarket

Tunapenda kukutaarifu mteja wetu kwamba Symart tumeboresha huduma yetu ya delivery kupita programu yetu mpya ya AGIZA NA SKYMART

Kupitia programu hii, unaweza kuagiza bidhaa mbalimbali kwa kutupigia simu au kutuma ujumbe wa WhatsApp kwa namba

๐Ÿ•น๏ธSkymart Madale #0717766607
๐Ÿ•น๏ธSkymart Tegeta A #0658176111

Tutahakikisha unapata mzigo wako kwa haraka na salama.

Karibu sana Skymart
Stay with us | We have it all


DarSupermarket agizanaskymart

03/02/2026

Karibuni sana kwa bidhaa safi na bora kutoka shambani kwa bei rafiki na ofa juu K**a upo nyumbani hujisikii kutoka delivery ipo ni hadi mlangoni kwako piga 0746664941 ni fast delivery ๐Ÿšš

31/01/2026

MIMI NITAKUABUDU๐Ÿ™

30/01/2026

*MATENDO YA HURUMA* ๐Ÿ’›๐ŸŽ‰

๐Ÿ“… *JUMAMOSI: 31 Januari 2026*

Tunapenda kukukaribisha kwenye *Matendo ya Huruma*, ambapo Kids Holiday Festival inaungana na Dorcas Home Care kuwasaidia watoto waliozaliwa na Ulemavu wa Ubongo (Cerebral Palsy โ€“ CP).

*Unaweza kuwa sehemu ya upendo huu kwa kuchangia:*

โœ… Bima ya afya
โœ… Mpira wa kulia chakula tumboni
โœ… Maziwa mabichi
โœ… Malipo ya bili ya umeme
โœ… Diapers
โœ… Mchele
โœ… Mchango wa ununuzi wa kiwanja
โœ… Mashuka ya vitanda
โœ… Posho za walezi (Caregivers)

๐Ÿค Kila mchango, hata mdogo, una maana kubwa sana.

๐Ÿ“ž Mawasiliano: 0757 881 000
๐Ÿ“ Instagram:

24/01/2026

On my birthday today, I say thank You, Lord, for Your grace, mercy, and endless blessings in my life. Iโ€™m excited for what You have prepared for me in this new year. ๐Ÿ™Œ๐ŸŽ‚

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam