AGAPE Driving School

AGAPE Driving School

Share

Udereva wa awali
Udereva wa kujihami
Udereva mahiri
Ni agape driving school pekee

20/03/2025

2 Petro 2:12-16, 20
12 Lakini hao k**a wanyama wasio na akili, ambao walizaliwa k**a wanyama tu wa kuk**atwa na kupotezwa, wakikufuru katika mambo wasiyoyajua, wataangamizwa katika maangamizo yao;

13 Wakipatikana na madhara, ambayo ni ujira wa udhalimu wao, wakidhania kuwa ulevi wakati wa mchana ni anasa; wamekuwa ni mawaa na aibu wakifuata anasa zisizo kiasi katika karamu zao za upendo, wafanyapo karamu pamoja nanyi;

14 wenye macho yajaayo uzinzi, watu wasiokoma kutenda dhambi, wenye kuhadaa roho zisizo imara, wenye mioyo iliyozoezwa kutamani, wana wa laana;

15 wakiiacha njia iliyonyoka, wakapotea, wakiifuata njia ya Balaamu, mwana wa Beori, aliyependa ujira wa udhalimu;

16 lakini alikaripiwa kwa uhalifu wake mwenyewe; punda, asiyeweza kusema, akinena kwa sauti ya kibinadamu, aliuzuia wazimu wa nabii yule.

20 Kwa maana wale waliokwisha kuyakimbia machafu ya dunia kwa kumjua Bwana na Mwokozi Yesu Kristo, k**a wakinaswa tena na kushindwa, hali yao ya mwisho imekuwa mbaya kuliko ile ya kwanza.

13/06/2024

Karibu
Agape Driving School

04/06/2021

AGAPE DRIVING SCHOOL
WANAYO FURAHA KWA KULETA PUNGUZO LA ADA YA MAFUNZO YA UDEREVA KWA WANAWAKE WOTE,
KUAZIA TAREHE 10JUNE2021 HADI 30JUNE2021
ADA ITAKUA 150,000 KWA MWEZI MMOJA,
UTAENDESHA GARI KATIKA BARABARA ZOTE,
WAHI OFA HII
WASILIANA NASI KWA
0655538600
0767538600
KIBAHA KWA MATHIAS

0658548600
MLANDIZI

0679521979
0768549827
Maweni

0713210755
0683871387
Mikwambe

0625929892 na
0715538600
Popote uliza utajibiwa
Karibu agape driving school tukuhudumie,
Wanawake wanaweza nasi tuwazeshe

11/05/2021

Welcome to agape driving school

29/12/2020

Karibuni kwa madereva wapya kwa safari ndefu kwa gharama nafuu

15/12/2020

IMEKOPIWA KUTOKA KWENYE MITANDAO
TUJADIRI:- WARAKA KWA VYAMA MAGROUP, TAASII NA MADEREVA KWA UJUMLA.

TASNIA YETU YA UDEREVA INAKWAMA WAPI?

FAHAM KUWA TASNIA YA UDEREVA NI TASNIA NYETI KWA TAIFA TOFAUTI NA INAVYO ZANIWA, KWA KUINGIZIA NCHI PATO LA TAIFA KWA THAMANI YA FEDHA ZA KIGENI.

TASNIA HII KWA UMUHIMU ILIO NAO, HAIKUPASWA KWA MFANYA KAZI WAKE KULIA, KULALA MIKA, AU KUKOSA HAKI STAHIKI K**A ILIVYO TOKEA ENZI NA ENZI.

SABABU INAKUJA KUTOKANA NA KUWA, WAAJILI WENGI WA TASNIA YA UDEREVA WALIAMINISHWA NA WAAJILI WENYE ASILI ZA KIARABU TOKEA UKOLONI KUWA, MWAJILIWA HAPASWI KUWA HURU, KWA KUMPA UHURU WA HAKI ZAKE ATAKUWA K**A MWAJILI KWA MDA MFUPI.

HIVYO TOKEA ENZI HIZO WAAJILI WALIAMINI HIVYO, NA HATA ILIPO FIKIA KUTUNGA SHERIA WAAJILI WALIHAKIKISHA SHERIA KANDAMIZI INAPITISHWA KUMKANDAMIZA MWAJILIWA WA SECTOR YA UDEREVA TANZANIA.

ILIKUWA RAHISI KUIPITISHA KWANI, ASILIMIA KUBWA NYINGINE YA WAAJILI WALIKUWA WAPO SERIKALINI.

NA HATA HADI LEO TUNAONA WAAJILI WENGI WAPO SERIKALINI, NA WAKISHIKILIA SANA SHERIA KANDAMIZI ZA KUMKANDAMIZA DEREVA ILI KUONA WANAPATA FAIDA MARA DUFU.

UKANDAMIZAJI HUU, HAUJA ISHIA KWA KUMKANDAMIZA DEREVA PEKE YAKE BALI HATA MIUNDO MBINU ANAYO ITUMIA DEREVA WA TANZANIA, K**A BARABARA NA VYOMBO ANAVYO ENDESHA.

TAZAMA MIUNDO MBINU YA BARABARA HAPA NCHINI KWETU, PAMOJA NA SEKTA YA USAFIRISHAJI KULETA AU KUINGIZA FEDHA ZA KIGENI, TOKEA UHURU HADI LEO, TUNAONA MIUNDO MBINU NI CHANGAMOTO K**A, BARABARA.

TUNA BARABARA HIGHY WAY, AMBAZO NI CHANGAMOTO KWA UTENDAJI KAZI KWA DEREVA MIAKA NA MIAKA.

NA SERIKALI IPO NA INAPOKEA MAPATO, ILA KUBORESHA HATUJUI MIMI NA WEWE KUWA SHIDA NI NINI.

KWA KUTO KUWA NA MIUNDOMBINU BORA YA BARABARA, YAANI BARABARA MOJA, ANATUMIA, MTEMBEA KWA MIGUU, BAISKELI, BAJAJI, BODABODA, MKOKOTENI WANYAMA N. K, ADHABU INARUDI KWA DEREVA.

LAITI BARABARA INGEBORESHWA KWA KUTANULIWA KUWEKA NJIA 4, K**A KWA WENZETU, KWA KIASI KIKUBWA TUNGEPUNGUZA ONGEZEKO LA AJARI SISIZO ZA ULAZIMA.

LAKINI LEO AJARI ZA MIUNDO

20/10/2020

*JINSI GARI LAKO LINAVYOPATWA NA TOCHI BAADA YA KUZIDI MWENDO*

K**a tulivyotangulia kuona kwenye makala zilizopita, kifaa cha kupimia mwendo maarufu k**a tochi kina uwezo wa kupima mwendo wa chombo chochote kilichopo mbele yake ndani ya umbali wa mita 3 hadi mita 1828 (Zaidi ya kilomita 1). Hii ina maana kwamba ikiwa sehemu ya barabara imenyoka na haina kizuizi chochote gari yoyote itakayotokea mbele ya tochi ndani ya mita 1000 itarekodiwa mwendo wake.

Jinsi Inavyofanyika.
Askari anapofika eneo la ukomo wa mwendo wa 50kph anaiset tochi yake katika *automatic mode*. Katika setting hiyo anakuwa ameipanga tochi kurekodi mwendo wa gari lolote unaozidi 50kph. Baada ya kufanya hizo setting hatua inayofuata ni kuanza kutafuta shabaha (target). Target hapa ni gari.

Askari atabonyeza batani (button) nyekundu katika tochi na kuielekeza tochi kule yanakotokea magari.

Akishaielekeza tochi huko huku akiwa amebonyeza bila kuachia ile batani, tochi inaanza kutafuta gari linalolengwa (target vehicle). Wakati tochi inatafuta gari askari anaisikia tochi ikiitafuta gari kwa kutoa mlio fulani k**a wa alarm. Hapa tunaweza kusema tochi ina *search*.

Wakati tochi ikisearch, kitendo cha gari kutokeza hata sehemu ndogo ya bodi tu ikiwa na spidi zaidi ya 50, tochi itarekodi ule mwendo. Askari atasikia tu mlio fulani unasikika k**a "kacha". Hapo hata ziwe gari 10 zimeongozana (ili mradi tu askari hajaachia ile batani) zote zitapigwa, maana tochi itasikika tu ikilia "tititi kacha, tititii kacha, tititii kacha".

*Je, Kupunguza Mwendo Ghafla baada ya Kumwona Askari Kunasaidia*?

Hakusaidii hata kidogo, maana Dereva atakapoanza kumwona mpiga tochi (k**a hajajificha) na kuanza kupunguza mwendo anakuwa alishapigwa zamani sana. Na hapa ndo chanzo cha malalamiko kuwa mbona niliingia na 45 nimekutwa na 67? Usichokijua hapa ni kwamba ulishapigwa muda mrefu hata kabla ya kufika hiyo 45.

Wengi huwa tunashtuka baada ya kumwona askari na kuanza kupunguza mwendo au k**a hatujamuona askari huwa tunai

28/05/2020

Ndivyo vitabu vitakavyo tumika ktk kutoa elimu ya alama barabarani

11/05/2020

Ni halali kisheria?

08/05/2020

Hili somo la kurudi nyuma

Photos from AGAPE Driving School's post 05/05/2020

SALUM KINDAILE, A K A
MZEE WA FITINA, MZEE WA MIPANGO MIJI, DR SHIREWA, RAILA ODINGA, Ukimalizia HAKIMU,

MWALIMU MWANZILISHI
AGAPE DRIVING SCHOOL
KIBAHA MLANDIZI,
MUNGU AMMPE HAJA YA MOYO WAKE

Photos from AGAPE Driving School's post 05/05/2020

RAIBU BONIPHACE KAPANZI,
MWALIMU MWANZILISHI
AGAPE DRIVING SCHOOL
KIGAMBONI MAWENI,
MUNGU ambariki hitaji la moyo wake

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam