01/06/2026
TAMISEMI yatangaza nafasi 400 za walimu wa Biashara kwa mkataba mwaka 2026. Angalia sifa za waombaji, mikoa husika, masharti na jinsi ya kutuma maombi kabla ya tarehe 14 Juni 2026.
https://www.smarteducation.co.tz/2026/06/tamisemi-job-vacancies-2026-nafasi-400-za-walimu-wa-biashara.html
04/05/2026
Kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa watumiaji wa Ajiraportal π
Wadau wengi wanashindwa kuingia kwenye akaunti zao hata baada ya kuweka taarifa sahihi. Mfumo unaendelea kuonyesha βInvalid Email or Passwordβ na hata ukifanya password reset, tatizo haliondoki.
Hili ni tatizo kubwa sana kwani linaathiri moja kwa moja waombaji wa ajira na kuwanyima fursa muhimu. Pia, mawasiliano yenu hayafanyi kazi ipasavyo, jambo linalozidisha changamoto hii.
π Tunaomba Sekretarieti ya Ajira mlifanyie kazi suala hili HARAKA iwezekanavyo. Mfumo huu ni muhimu sana kwa vijana wengi wanaotafuta ajira.
30/04/2026
TAARIFA β SMART EDUCATION TANZANIA
Habari wapendwa wanafunzi wa Diploma ya Elimu ya Msingi na Elimu ya Awali π©βπ«π¨βπ«
Tunapenda kuwakumbusha kuwa utaratibu wa kujaza fomu za Internship (Teaching Practice) umeanza rasmi. Ni muhimu kila mhusika kuhakikisha anakamilisha hatua zote kwa wakati ili kuepuka usumbufu usio wa lazima.
πΉ Muhimu kuzingatia:
- Hakikisha umejaza taarifa zako kwa usahihi
- Fuata maelekezo yote yaliyotolewa na chuo/taasisi husika
- Wasilisha fomu ndani ya muda uliopangwa
- Hifadhi nakala ya fomu yako kwa kumbukumbu
π² Endelea kufuatilia Smart Education Tanzania kwa taarifa sahihi, miongozo na fursa mbalimbali za kielimu.
27/04/2026
Tunawawezesha wanafunzi kufikia malengo yao kupitia elimu bora na teknolojia.
22/04/2026
https://www.smarteducation.co.tz/p/ajira-placements.html
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-04-2026
21/04/2026
Habari za muda huu, wanafamilia wa SMART EDUCATION TANZANIA π€
Napenda kutumia nafasi hii kuwaomba radhi kwa jambo lolote ambalo huenda niliwahi kuwakwaza kwa namna yoyote ile. π
Licha ya yote, jambo la msingi ni kuendelea kushik**ana, kuombeana, na kudumisha upendo miongoni mwetu. Ni kweli hatujuani mmoja mmoja, lakini ukweli kwamba Mungu ametukutanisha katika jukwaa hili β hiyo pekee ni neema kubwa sana. β¨
πΉ Kwa wale mlio tayari mmepangiwa vituo vya kazi
Hongereni sana π Tunawatakia kila la kheri katika majukumu yenu mapya.
πΉ Kwa wale ambao bado mnasubiri
Msikate tamaa. Hili ni suala la muda tu β upo kwenye foleni, na muda wako utafika. β³
πΉ Kwa wale ambao mmetoka k**a NOT SELECTED
Msivunjike moyo. Huu sio mwisho wa safari ya ajira. Nafasi zitaendelea kutangazwa, na fursa nyingine zitakuja. Endeleeni kujaribu β muda wenu pia utafika. πͺ
π Kumbuka:
Katika jukwaa hili la SMART EDUCATION TANZANIA, sio ajira tu β pia utapata mafunzo mbalimbali yatakayokujengea uwezo binafsi na kitaaluma. Kwa waliopata ajira, hapa pia mtajifunza mifumo muhimu ya kiutumishi k**a ESS, PEPMIS, SIS, PREM na mingineyo.
Tuendelee kuwa pamoja k**a familia moja π
Nawapenda sana. Mungu awabariki wote. π
β
Imetolewa na:
Mkurugenzi Mtendaji
SMART EDUCATION TANZANIA
π§ [email protected]
π 0717173853 / 0750173853
π www.smarteducation.co.tz
12/04/2026
Wale Wamachaguo ya Kidato Cha Tano Mfumo Upo *Active Sasa* Nak**a Unahitaji Usaidiz Wasiliana Nasi 0717173853 -
*Whatsapp Only*