Raudhwa MEDIA
Karibu kwenye ukurasa rasmi wa AL RAUDHWA MEDIA. Kwa mawasiliano na udhamini wa channel hii tupigie kwa simu namba 0783 768 377
kupitia page hii utapata Uelewa wa mambo mbalimbali kuhusu Dini ya Uislamu na kukupa mwangaza wa Maisha yako ya hapa Duniani.
Laa hawla walaa quwwata illa billah.” Hakuna hila wala nguvu isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu. Ikiwa mambo yako hayaendi sawa—ridhiki ngumu, biashara haiendi, hata chakula kinakuwa tabu— sema: اَسْتَغْفِرُ اللهَ وَأَتُوبُ إِلَيْهِ (Astaghfirullah wa atubu ilayh – Naomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na ninatubia Kwake)
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
16106