carivision_studyabroad

carivision_studyabroad

Share

The Best Study Abroad Agency in Tanzania. We assuredly make your journey studying abroad very easy.

30/03/2026

Tupo tayari kutimiza ndoto zako za kusoma katika Vyuo Vikuu Bora kabisa nje ya Nchi kwa ada nafuu kabisa .Udahili unaendelea kwa intake za Mei na September.Wasiliana nasi kupitia 0677333311 kwa taarifa zaidi .

28/03/2026

Tuko makini kuzungumza nawe kuwezesha ndoto zako kukamlika za kupata chuo Bora nje ya Nchi.

Tumedhamiria kufanikisha hilo kwa kukuunganisha na Vyuo Bora kabisa vinavyotambulika na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania .

Wasiliana nasi Sasa kupitia namba 0677333311.

20/03/2026
14/03/2026

Inspiring young generation at Bwiru Boys Mwanza.

05/03/2026

Inspiring the young generation .Call us now 0677333311.

05/03/2026

Staff wetu wa Idara ya Ushauri nasihi kwa wanafunzi Akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Baobab mara baada ya semina ya namna Bora ya uchaguzi sahihi wa Vyuo kwa wanafunzi wanaotarajia kumaliza kidato Cha Sita mwezi Mei mwaka huu.

27/02/2026

Friday for Career guidance session .Let us realize your dream into reality.

25/02/2026

Vijana toka St Mary's Duluti ya Jijini Arusha baada ya kupata ushauri wa kitaaluma kutoka kwetu .Wakiwa katika picha ya pamoja .Je ungependa kupata ushauri kuhusu Vyuo Vikuu vya Nje wasiliana nasi Sasa 0677333311

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Victoria Place
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00