12/06/2024
Ni muhura mwingine tena tunapokea wanafunzi wapya.... DAGE inaendelea na kazi wapendwa,, hawa ni wanafunzi wanaosomea mapishi wakiwa kwenye somo la kujifunza na kuelewa pia kujua jinsi ya kupika sambusa za nyama
CHUO CHA UREMBO NA MAPAMBO KINAPATIKANA SINZA AFRIKASANA DAR ES SALAAM
12/06/2024
Ni muhura mwingine tena tunapokea wanafunzi wapya.... DAGE inaendelea na kazi wapendwa,, hawa ni wanafunzi wanaosomea mapishi wakiwa kwenye somo la kujifunza na kuelewa pia kujua jinsi ya kupika sambusa za nyama
11/06/2024
Karibuni sana DAGE chuo cha urembo na mapambo pia mapishi...sinza Africa sana
11/06/2024
Kwa mara ya kwanza leo tumewafundisha na kuwaelekeza wapendwa wetu traditional make up na matokeo yao siyo mabaya
08/06/2024
15/04/2024
🤝KARIBU CHUO CHA UREMBO NA MAPAMBO:DAGE
CHUO KINAPOKEA WANAFUNZI KUTOKA MAENEO MBALIMBALI.CHUO KINATOA CHETI KWA NGAZI YA CERTIFICATE
☑️CHUO KIMESAJILIWA REG: NO VET/DSM/PR/2012/D/004
CHUO KINATOA KOZI YA
1.COSTEMOLOGY K**A IFUATAVYO:
✳️UREMBO WA NGOZ (Beauty therapy)
▪️Facial
▪️Make up
✳️UREMBO WA KUCHA
▪️Kuosha kucha(manicure/pedicura)
✳️UREMBO WA NYWELE (Hair dresssing)
▪️Hair treatment
▪️Braiding (kusuka)
▪️Weaving (kushonea)
▪️Hair styling (kubana) nk
2.KUPAMBA MAHARUSI nk.
▪️KUPAMBA SHUGHULI MBALIMBALI
3.MAFUNZO YA KOMPUTER
🌐CHUO KINAPATIKANA DAR ES SALAAAM KARIBU NA SOKO LA SINZA AFRICASANA MTAA WA KING’OMBE
☑️JISAJILI SASA KWANI NAFASI NI CHACHE .”HOSTEL ZIPO”
📞KWA MAWASILIANO TUPIGIE
+255787413663
+255713413663
+255629448899
+255743888181
09/04/2024
🙏TANGAZO LA **MSIBA**🙏
KWA MASIKITIKO MAKUBWA
Tunapenda kutoa taarifa ya Msiba wa Ndugu yetu Recho
Ambae alifariki trh 7 April.
Mazishi yatafanyika Tanga.
Ataagwa kesho saa 7 mchana nyumbani kwao Kimara kibanda cha mkaa.
31/03/2024
Heri ya Pasaka wapendwa 🤗
29/03/2024
Tukiwa na akiwaandaa wasichana Hawa kiakili waweze kwenda kupambana na maisha ya mtaani, wapate kujikwamua kiuchumi na waweze kukuza ujuzi wao.
Chuo Chetu kinapatikana sinza afrikasana mkabala na solo la afrikasana. Karibuni sana nafasi bado zipo.
tanzania
01/03/2024
Rest in peace
05/02/2024
Chuo Cha Urembo DAGE, kinapenda kuwatangazia nafasi zipo kwa muhula mpya. Karibuni muweze kupata nafasi ya kujifunza Urembo. Ofisi zetu ziko wazi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 10 jioni, kuanzia jumatatu hadi ijumaa. Karibuni moats kujisajili. Hostel zipo pia.😊
,Afya na Uhai.
25/01/2024
Yanayojiri chuoni kwetu Leo ni Haya
Karibuni muhula mpya umeanza 2024
31/12/2023
| Monday | 08:00 - 20:00 |
| Tuesday | 08:00 - 19:00 |
| Wednesday | 08:00 - 19:00 |
| Thursday | 08:00 - 19:00 |
| Friday | 08:00 - 19:00 |
| Saturday | 08:00 - 19:00 |
| Sunday | 08:00 - 19:00 |