31/07/2023
Sabato ya Watoto Sinza SDA Church July 2023...Watoto wakionyesha program za vipaji; uimbaji, kukariri mafungu, na kuhubiri.
Watoto wa miaka 4 na 5 wakikariri sura nzima ya Zaburi 23
Spiritual, Mental, Physical & Social Activities Trainings; Mentorship; Talents and Skills. 0763116983
31/07/2023
Sabato ya Watoto Sinza SDA Church July 2023...Watoto wakionyesha program za vipaji; uimbaji, kukariri mafungu, na kuhubiri.
Watoto wa miaka 4 na 5 wakikariri sura nzima ya Zaburi 23
31/07/2023
Sabato ya Watoto Sinza SDA Church July 2023...Watoto wakionyesha program za vipaji; uimbaji, kukariri mafungu, na kuhubiri.
Watoto wakiimba pamoja
31/07/2023
Sabato ya Watoto Sinza SDA Church July 2023...Watoto wakionyesha program za vipaji; uimbaji, kukariri mafungu, na kuhubiri.
Mtoto akikariri mafungu ya sura nzima ya Zaburi 40
31/07/2023
Sabato ya Watoto Sinza SDA Church July 2023...Watoto wakionyesha program za vipaji; uimbaji, kukariri mafungu, na kuhubiri.
20/07/2023
Makambi ya Watoto Mtaa wa Manzese na Sinza; June 25 - July 1, 2023.
Nitakwenda.....Kutumika
Watoto walitoa zawadi kwa Wachungaji, katika siku ya Sabato ya kuhitimisha makambi.
20/07/2023
Makambi ya Watoto Mtaa wa Manzese na Sinza; June 25 - July 1, 2023.
Nitakwenda.....Kutumika
Watoto wakionyesha program katika siku ya Sabato ya kuhitimisha makambi.
20/07/2023
Makambi ya Watoto Mtaa wa Manzese na Sinza; June 25 - July 1, 2023.
Nitakwenda.....Kutumika
Watoto wakitoa zawadi kwa Wachungaji, katika siku ya Sabato ya kuhitimisha makambi.
20/07/2023
Makambi ya Watoto Mtaa wa Manzese na Sinza; June 25 - July 1, 2023.
Nitakwenda.....Kutumika
Mungu awabariki Sana Mwl Warento na Mwl Jonathan; kwa huduma yenu kwa watoto.