Ndugu wazazi na walezi , tunaendelea kupokea uandikishaji wa watoto kwa ajili ya mwaka mpya wa masomo Julai, 2023.watoto wa Day Care na Pre school!!! Waleteni tuwalee k**a Hamna wasaidizi
Mtawafuata jioni mkitoka.
MAHALI: Shule ipo KIGAMBONI Dar es Salaam (cheka)
UMRI: Miaka miwili hadi sita
ADA: Ada zetu ni nafuu sana.
Malipo hufanyika Kwa Mwaka mzima au Mihula 3 au kila mwezi.
KUJIUNGA: Forms za kujiunga zinapatikana shuleni
Mazingira yetu ni safi na salama
Wasiliana nasi kwa Kutupigia au tutumie message au whatsapp kwa namba zifuatazo:
0659 966755
0684 353056
0620 301892
0655 026555
Karibuni sana
Lights 2nd Home Daycare �Offering unique childcare ranging from full-time, emergency and part-time at an affordable price...