04/02/2022
Ikiwa una sherehe ya mwanao... mtoto wa rafiki au nduguyo... na unahitaji kumfanyia party... sherehe ndogo aenjoy na watoto wenzake....sehemu salama wakati wewe unaendelea na shughuli zako. Tupo kwa ajili yako. Kodi ukumbi wa watoto...na tujuze nini unataka kufanya tutaarrange kila kitu. Wewe itabakia kuleta watoto tu kwetu... wacheze...wale...wanywe...wafurahi...
Ni sehemu salama, tutahakikisha watoto wanaenjoy na kufurahi... wanapata kumbukumbu nzuri...huku tukikupunguzia wewe mzazi/mlezi heka heka na kukuongezea mda zaidi wa kufanya shughuli nyingine.
Ni sehemu mahususi kwa ajili ya WATOTO TU Kuanzia miezi 6.
Iwe Birthday, Ubarikio , au just Kids Day Out....
Tupigie
☎️ +255 754 985 251
+255 688 644 622
📍 Migombani Street No.29, SEGEREA.
04/02/2022
A day care centre taking in kids as young as 6month.
We are provide early childhood development services to your kid and a safe, friendly place for them to stay while you are at work.
All days of the week as per your convenience.
Call us at
☎️ +255 754 985 251
+255 688 644 622
📍Segerea, Migombani No.29
Dar es salaam.
04/02/2022
A day care centre taking in kids as young as 6month. We are provide early childhood development services to your kid and a place for them to stay while you are at work. All days of the week as per your convenience. Ni sehemy salama, tunawalea watoto kwa upendo na kwa kufuata kanuni bora za malezi na ukuaji wao, kuanzia kwenye akili, ukuaji wao kimwili, kiroho na kitabia.
03/02/2022
USISUMBUKE TENA ENDAPO HUNA DADA WA KAZI AU KAKUAGA GHAFLA NA UNA MTOTO MDOGO. TULETEE kalakidstz TUMLEE KWA UPENDO NA KWA KUZINGATIA MAHITAJI YAKE YA UKUAJI WA AWALI.
Tunapokea watoto kuanzia miezi 6 na kuendelea.
Endapo unachangamoto ya dada wa kazi na hauna wa kumuachia mwanao nyumbani ipo kukusaidia jukumu hilo kwa upendo na kwa kujali ukuaji wa mtoto wako.
Karibu mlete mwanao kwenye mazingira nadhifu, safi, bora na salama kwa ukuaji wake. Tuna walezi na walimu waliobobea katika malezi ya awali ya mtoto.
Tunafungua kila siku kuanzia saa 1:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.
Tupigie au kutuma ujumbe kupitia
☎️+255 754 985251 | +255 688 644 622
📧 [email protected]
📍Mtaa wa Migombani no 29 - Segerea.
Dar es Salaam.
02/02/2022
Kwa maelezo zaidi kuhusu kituo cha kulelea watoto wadogo (kuanzia miezi 6 na kuendelea) cha , bofya hapa kuweza kuchat nasi kwa Whats app