Morata Academic Center

Morata Academic Center

Share

Morata Academic Center ....where education and entertainment becomes a reality.... Join us and enjoy the experience....

04/01/2026

Karibu MORATA ACADEMIC CENTER...
*Je mwanao hafanyi vizuri shuleni?
*Je mwanao ana changamoto ya Kiingereza (ENGLISH Language)?
*Je mwanao ana changamoto ya Hisabati (MATHEMATICS)?
ONDOA SHAKA MORATA ACADEMIC CENTER NDIO SULUHISHO....
Tunapatikana Uwanja Wa Ndege Dar es salaam au wasiliana nasi kupitia namba ya simu 0683 205067. KARIBUNI WOTE.

25/12/2025

Ni msimu mwingine wa upendo, furaha, umoja na kusherekea kuzaliwa kwa mwokozi Yesu Kristo. Ikawe heri na baraka katika siku kuu ya KRISMASI kwako na familia yako.❤️🙏🏾

24/03/2025

Ndugu wazazi na walezi karibu ujiunge na masomo maalum ya Kiingereza (ENGLISH COURSE) kwa ajili ya wanafunzi wa SHULE YA MSINGI, SHULE YA SEKONDARI NA WATU WAZIMA mtandaoni kupitia WhatsApp group & YouTube. MORATA ACADEMIC CENTER.
WhatsApp namba 0683 205067.

24/09/2024

Karibu sana kwenye masomo maalum ya Kiingereza mtandaoni ONLINE ENGLISH COURSE.
Program hii itakuwezesha KUONGEA, KUANDIKA, KUSOMA NA KUSIKILIZA lugha ya Kiingereza kwa ufasaha ndani ya muda mfupi, mahali popote pale ulipo masomo yanakufikia.
UNASUBIRIA NINI...!!! JIUNGE SASA...!!!
Wasiliana nasi kupitia namba ya simu +255 683 205 067. KARIBUNI WOTE!!

09/07/2023

Una changamoto ya lugha ya Kiingereza? Usijali tembelea YouTube MORATA ACADEMIC CENTER au tuma ujumbe WhatsApp 0683 205067. Karibu sana!!

06/09/2020

DIRA; Kuwa taasisi yenye ubora katika kutoa huduma ya elimu na mafunzo.
KAULI DHAMIRA; Kujidhatiti kikamilifu katika utoaji wa elimu bora na hekima kwa walengwa wote.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Uwanja Wa Ndege/Kipawa
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
18:30 - 20:00
Tuesday 08:00 - 18:00
18:30 - 20:00
Wednesday 08:00 - 18:00
18:30 - 20:00
Thursday 08:00 - 18:00
18:30 - 20:00
Friday 08:00 - 18:00
18:30 - 20:00
Saturday 09:00 - 15:00