TANGAZO LA KAZI
Tunatafuta kwa haraka mwalimu wa kufundisha baby class. Mwenye uzoefu wa kulea watoto wadogo. Elimu ni cheti cha nursery!
Awe anatokea maeneo jirani na shule ama aliye na utayari kuhamia maeneo jirani na shule.
Shule ipo Majohe DSM
0766522703
Bright Babies Montessori Day Care Centre
Day Care Centre for children between the age of 6 months to 5 years
06/02/2024
Je una changamoto ya walezi/ wadada wa kazi/ yaya kwa ajili ya mtoto wako mwenye umri wa kuanzia miezi 6 hadi miaka 2?
Je una tafuta shule ya awali kwa ajili ya mtoto wako mwenye umri wa miaka 2 hadi miaka 5? Shule yenye maadili mema na yenye waalimu wasomi kwa kuwawezesha watoto kupata msingi bora!
Shule hiyo ni moja tu katika kata ya Majohe - DSM
Usafiri upo hivyo popote pale ndani ya Dar jiji tunakufikia
Mawasiliano:-
0766522703
11/12/2023
2023 Graduation Activites
11/12/2023
Mazingira ya shule yetu ni bora, salama na yenye utulivu. Tunapokea watoto kuanzia umri wa miezi 6 hadi miaka 5
11/12/2023
Karibuni sana usajili wa 2024 umeanza, tupo ofisini kuwahudumia
Tunapatikana Majohe DSM jirani na sheli ya Happy oil
Cont: 0766522703
Tunawakaribisha sana kwani usajili kwa mwaka 2024 umeanza
28/10/2023
Karibuni
Tangazo muhimu!!
Ndugu wazazi kila ifikapo mwishoni mwa mwaka shule yetu inarudisha kwa Jamii kidogo Mungu alichotujaalia….
Tunatoa offer kwa wanafunzi wapya wanaotamani kujiunga nasi hivyo kwa miezi ijayo yaan Nov na Dec hawatalipia ada badala yake watatakiwa kununua tu uniform!!
K**a una jirani/ ndugu/ jamaa/ rafiki naomba umpatie taarifa hii njema
Shule yetu ipo Majohe - DSM
Mawasiliano: 0766522703
Asanteni 🙏
Watoto wetu hupata nafasi ya kujifunza kuhudumia mifugo kwani katika maisha yao ya nyumban wamezungukwa na wanyama mbalimbali
Tunafundisha kwa kutumia zana mbali mbali kwani tunaamini mtoto anatabia ya kibinaadamu ya kupenda kuona kitu kwa uhalisia wake (Human Tendency of Exactness)
Karibuni tujifunze pamoja!
Tunapatikana Majohe jirani na sheli ya Happy Oil
0766522703
Tangazo muhimu!!
Ndugu wazazi kila ifikapo mwishoni mwa mwaka shule yetu inarudisha kwa Jamii kidogo Mungu alichotujaalia….
Tunatoa offer kwa wanafunzi wapya wanaotamani kujiunga nasi hivyo kwa miezi ijayo yaan Nov na Dec hawatalipia ada badala yake watatakiwa kununua tu uniform!!
K**a una jirani/ ndugu/ jamaa/ rafiki naomba umpatie taarifa hii njema
Asanteni🙏
Moja ya vipindi tunawafunza watoto wetu ni kilimo cha bustani!
Tunapatikana Majohe - DSM jirani na sheli ya Happy Oil
0766522703
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Majohe
Dar Es Salaam