UZITO MKUBWA UNAWEZA KUCHANGIA FIBROIDS?
Wanawake wengi hushangaa kwa nini fibroids zinaendelea kukua au kurudi hata baada ya matibabu. Moja ya sababu zinazoweza kuongeza hatari ya fibroids ni uzito mkubwa au unene kupita kiasi.
Mafuta ya mwilini si sehemu ya kuhifadhi nishati pekee. Pia hushiriki katika uzalishaji wa homoni mbalimbali, ikiwemo estrogen. Kadiri mafuta yanavyoongezeka mwilini, hasa eneo la tumbo, ndivyo uwezo wa mwili wa kuzalisha na kuhifadhi estrogen unavyoongezeka.
Estrogen ni homoni muhimu katika mfumo wa uzazi wa mwanamke, lakini inapokuwa nyingi kwa muda mrefu inaweza kuchochea ukuaji wa fibroids. Hii ndiyo sababu wanawake wenye uzito mkubwa wanaweza kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata fibroids au kuona fibroids zilizopo zikiongezeka ukubwa.
Mbali na kuongeza estrogen, uzito mkubwa unaweza pia:
β Kuvuruga uwiano wa homoni za uzazi
β Kuongeza uvimbe (inflammation) mwilini
β Kuongeza hatari ya insulin resistance
β Kusababisha hedhi zisizo za kawaida
β Kuathiri afya ya mfumo wa uzazi kwa ujumla
Fibroids ni uvimbe unaoota kwenye mfuko wa uzazi na mara nyingi huhusishwa na mabadiliko ya homoni pamoja na mtindo wa maisha. Wanawake wengi huanza kugundua tatizo hili wanapoona dalili k**a:
β Hedhi nyingi au za muda mrefu
β Maumivu makali ya hedhi
β Maumivu ya nyonga na mgongo wa chini
β Tumbo kuongezeka ukubwa
β Kukojoa mara kwa mara
β Uchovu kutokana na upungufu wa damu
β Maumivu wakati wa tendo la ndoa
β Changamoto za kushika mimba kwa baadhi ya wanawake
Habari njema ni kwamba hata kupunguza uzito kwa asilimia 5 hadi 10 ya uzito wa mwili kunaweza kusaidia kuboresha uwiano wa homoni na afya kwa ujumla.
Ndiyo maana katika Okoa Mwili Natura-Ceutical Clinic tunasisitiza kushughulikia chanzo cha tatizo pamoja na dalili zake kupitia Fibroids Package inayojumuisha lishe maalum, ushauri wa mtindo wa maisha na virutubisho asili kwa kipindi cha miezi 3 kulingana na tathmini ya hali yako.
FAIDA ZA FIBROIDS PACKAGE
β
Husaidia kupunguza ukubwa wa fibroids
β
Husaidia kusawazisha homoni
β
Hupunguza hedhi nzito
β
Husaidia kupunguza maumivu ya nyonga
β
Husaidia kupunguza tumbo kuvimba
β
Husaidia kuongeza nafasi ya kushika mimba
β
Husaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi
β
Hupunguza upungufu wa damu unaotokana na hedhi nyingi
β
Husaidia kuboresha afya ya mfuko wa uzazi
β
Hushughulikia chanzo cha tatizo kwa mtazamo wa lishe na mtindo wa maisha
BEI ZA FIBROIDS PACKAGE
π Uvimbe chini ya 5cm
β’ Mwezi 1 β Tsh 354,000
β’ Miezi 3 β Tsh 1,062,000
π Uvimbe 6β10cm
β’ Mwezi 1 β Tsh 484,000
β’ Miezi 3 β Tsh 1,452,000
π Uvimbe 11cm na zaidi
β’ Mwezi 1 β Tsh 594,000
β’ Miezi 3 β Tsh 1,782,000
Usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa zaidi.
π Piga au WhatsApp: +255767716093 kuanza programu yako leo.
Okoa Mwili Natura-Ceutical 3
Lishe & afya ya uzazi & Uzito
π Tiba mbadala
π± Mwongozo & virutubisho
π² WhatsApp +255767716093
SUBSCRIBE Sh 3,000/MWEZI, kupata mafunzo yote bure!
MSONGO WA MAWAZO UNAWEZA KUCHANGIA FIBROIDS?
Wanawake wengi wanajua kuwa fibroids zinahusishwa na homoni, lakini si wengi wanaofahamu kuwa msongo wa mawazo wa muda mrefu unaweza kuwa mmoja wa mambo yanayochangia kuvurugika kwa homoni hizo.
Unapokuwa kwenye msongo wa mawazo kwa muda mrefu, mwili huzalisha kwa kiwango kikubwa homoni ya mfadhaiko inayojulikana k**a cortisol. Homoni hii inapobaki juu kwa muda mrefu inaweza kuathiri uwiano wa homoni nyingine muhimu za uzazi k**a estrogen na progesterone.
Kutobalance kwa homoni hizi kunaweza kuunda mazingira yanayoweza kuchochea ukuaji wa fibroids kwa baadhi ya wanawake.
Mbali na hilo, msongo wa mawazo mara nyingi huambatana na changamoto nyingine zinazoweza kuongeza hatari ya fibroids, ikiwemo:
β Kukosa usingizi wa kutosha
β Kuongezeka uzito hasa eneo la tumbo
β Kula vyakula vya sukari na mafuta mengi
β Kupungua kwa mazoezi ya mwili
β Uchovu wa muda mrefu
β Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi
Fibroids ni uvimbe unaoota kwenye mfuko wa uzazi na mara nyingi huonekana zaidi kwa wanawake walio katika umri wa uzazi. Dalili zake zinaweza kujumuisha:
β Hedhi nyingi au za muda mrefu
β Maumivu makali wakati wa hedhi
β Maumivu ya nyonga na mgongo wa chini
β Tumbo kuongezeka ukubwa
β Kukojoa mara kwa mara
β Upungufu wa damu kutokana na hedhi nyingi
β Maumivu wakati wa tendo la ndoa
β Changamoto za kupata ujauzito kwa baadhi ya wanawake
Tatizo la fibroids lisiposhughulikiwa mapema linaweza kuathiri afya ya uzazi na ubora wa maisha kwa ujumla. Ndiyo maana ni muhimu kuangalia chanzo cha tatizo pamoja na dalili zake.
Kwa msaada wa Fibroids Package kutoka Okoa Mwili Natura-Ceutical Clinic, tunalenga kusaidia kupunguza uvimbe huu kwa njia ya lishe, mtindo wa maisha na virutubisho asili kwa kipindi cha miezi 3 bila kuanza na upasuaji, kulingana na tathmini ya ukubwa wa uvimbe wako.
FAIDA ZA FIBROIDS PACKAGE
β
Husaidia kupunguza ukubwa wa fibroids
β
Husaidia kusawazisha homoni
β
Hupunguza hedhi nzito
β
Husaidia kupunguza maumivu ya nyonga
β
Husaidia kupunguza tumbo kuvimba
β
Husaidia kuongeza nafasi ya kushika mimba
β
Husaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi
β
Hupunguza upungufu wa damu unaotokana na hedhi nyingi
β
Husaidia kuboresha afya ya mfuko wa uzazi
β
Hushughulikia chanzo cha tatizo kwa mtazamo wa lishe na mtindo wa maisha
BEI ZA FIBROIDS PACKAGE
π Uvimbe chini ya 5cm
β’ Mwezi 1 β Tsh 354,000
β’ Miezi 3 β Tsh 1,062,000
π Uvimbe 6β10cm
β’ Mwezi 1 β Tsh 484,000
β’ Miezi 3 β Tsh 1,452,000
π Uvimbe 11cm na zaidi
β’ Mwezi 1 β Tsh 594,000
β’ Miezi 3 β Tsh 1,782,000
Kwa matokeo bora zaidi, tunashauri kutumia package ya miezi 3 ili kusaidia mwili kurekebisha chanzo cha tatizo na kuboresha afya ya uzazi kwa ufanisi zaidi.
Usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa zaidi.
π Piga au WhatsApp: +255767716093
'sHealth
π₯ ACID REFLUX, GESI NA TUMBO KUUNGURUMA β USIPUUZE!
Unahisi tumbo linaunguruma, kujaa gesi au kifua kuungua mara kwa mara? Hii si hali ya kawaida k**a wengi wanavyodhaniβ¦ ni ishara kwamba mfumo wako wa mmengβenyo hauko sawa.
Tatizo hili mara nyingi husababishwa na:
πΈ Asidi ya tumbo kutokuwa kwenye uwiano sahihi
πΈ Uchafu uliokusanyika tumboni (toxins)
πΈ Bakteria wabaya kuongezeka
πΈ Lishe mbaya (vyakula vya kukaanga, sukari, soda)
πΈ Msongo wa mawazo
Matokeo yake ni:
β Gesi nyingi na tumbo kujaa
β Kukosa choo vizuri
β Uchovu na kukosa nguvu
β Mwili kushindwa kufyonza virutubisho
β Vidonda vya tumbo na matatizo ya utumbo
Suluhisho sahihi si kufunika daliliβ¦ bali kusafisha na kurekebisha mfumo mzima wa mmengβenyo.
πΏ Programu ya C24/7 + Colon Detox inasaidia kwa pamoja:
βοΈ Kusafisha utumbo kwa kina
βοΈ Kuondoa gesi na kuvimba tumbo
βοΈ Kurekebisha acid reflux
βοΈ Kuboresha mmengβenyo wa chakula
βοΈ Kuongeza ufyonzwaji wa virutubisho
βοΈ Kusawazisha bakteria wazuri tumboni
βοΈ Kuondoa sumu mwilini (detox)
βοΈ Kuimarisha kinga ya mwili
βοΈ Kuongeza nguvu na kupunguza uchovu
βοΈ Kuboresha choo kuwa laini na cha kawaida
π° Bei za Programu:
-Siku 15 β Sh 195,000
-Mwezi 1 β Sh 390,000
-Miezi 3 β Sh 1,170,000
π Piga au WhatsApp: +255767716093
π Anza leo:
Epuka soda na vyakula vya mafuta mengi, kunywa maji ya kutosha, kula kwa utaratibu, na saidia mwili wako ujisafishe kutoka ndani.
β¨ Afya ya tumbo lako ndiyo msingi wa afya ya mwili mzima. Ukirekebisha hapa, kila kitu kingine kinaanza kukaa sawa.
SUKARI NYINGI KWENYE DAMU INAWEZA KUHARIBU AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE
Wanawake wengi wanahangaika na changamoto za uzazi bila kujua kuwa moja ya sababu kubwa ni kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu. Sukari inapokuwa juu kwa muda mrefu huathiri homoni za uzazi, kazi ya ovari na hata uwezo wa kushika ujauzito.
Sukari nyingi kwenye damu inaweza kusababisha:
β’ Kuvurugika kwa homoni za uzazi
β’ Hedhi kutokuwa za kawaida
β’ Kushindwa kupevusha mayai vizuri
β’ Kuongezeka kwa hatari ya PCOS
β’ Kuongezeka kwa uzito hasa eneo la tumbo
β’ Ugumu wa kupata ujauzito
β’ Uchovu wa mara kwa mara
β’ Kuongezeka kwa uvimbe wa mwili na msongo wa homoni
Mwili unaposhindwa kutumia sukari vizuri, kiwango cha insulin huongezeka. Insulin ikiwa nyingi huathiri ovari na kusababisha uzalishaji mkubwa wa homoni za kiume, hali inayoweza kuvuruga mzunguko wa hedhi na kuathiri ubora wa mayai.
Kwa wanawake wanaopambana na changamoto hizi, tunashauri kutumia CPE Natura-Ceutical kutoka Okoa Mwili kwa miezi 3 mfululizo ili kusaidia mwili kurejesha uwiano wa virutubisho muhimu na kusaidia afya ya homoni.
Faida za CPE Natura-Ceutical:
β Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa uzazi
β Husaidia mwili kutumia sukari kwa ufanisi zaidi
β Husaidia kusawazisha homoni
β Huchangia kuboresha mzunguko wa hedhi
β Husaidia kupevusha mayai kwa ubora
β Husaidia kuongeza nguvu na kupunguza uchovu
β Husaidia kuboresha afya ya ovari
β Huchangia kuimarisha kinga ya mwili
β Husaidia kuboresha afya ya mwili kwa ujumla
DOZI KAMILI YA MIEZI 3 MFULULIZO:
Shilingi 552,000
Ukichukua kwa awamu:
Mwezi 1 β Shilingi 184,000
Siku 15 β Shilingi 92,000
Usisubiri tatizo liendelee kuathiri afya yako ya uzazi. Anza kuchukua hatua mapema kwa kurekebisha lishe, mtindo wa maisha na kuongeza virutubisho sahihi vinavyounga mkono afya ya homoni na mfumo wa uzazi.
Piga simu au WhatsApp: +255767716093
VIVIMBE MAJI KWENYE UZAZI NA OVARI (UTERINE/OVARIAN CYSTS): USIVIPUUZE
Wanawake wengi wanagundulika kuwa na vivimbe maji kwenye ovari au maeneo ya uzazi baada ya kuanza kupata maumivu, hedhi zisizo za kawaida au changamoto za kupata ujauzito. Tatizo hili linaweza kuathiri afya ya uzazi na ubora wa maisha ikiwa halitafuatiliwa mapema.
SABABU ZA VIVIMBE MAJI KWENYE OVARI NA UZAZI
β’ Kutobalance kwa homoni za uzazi
β’ PCOS (Polycystic O***y Syndrome)
β’ Msongo wa mawazo wa muda mrefu
β’ Insulin resistance na uzito mkubwa
β’ Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi
β’ Lishe duni yenye sukari nyingi na vyakula vya viwandani
β’ Uvimbe wa muda mrefu ndani ya mwili (chronic inflammation)
DALILI ZAKE
β’ Maumivu ya tumbo la chini au nyonga
β’ Hedhi zisizo za kawaida
β’ Kutokwa damu nyingi au kidogo kupita kawaida
β’ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
β’ Tumbo kujaa au kuvimba mara kwa mara
β’ Maumivu ya mgongo wa chini
β’ Kupata shida ya kushika mimba
β’ Kuongezeka uzito bila sababu ya wazi
MADHARA YANAYOWEZA KUTOKEA
β’ Changamoto za kupata ujauzito
β’ Kuvurugika kwa ovulation na upevukaji wa mayai
β’ Maumivu ya mara kwa mara ya nyonga
β’ Kutobalance kwa homoni za uzazi
β’ Kuathirika kwa afya ya mfumo wa uzazi kwa ujumla
β’ Baadhi ya cysts kukua na kuhitaji uangalizi wa karibu wa kitabibu
NINI KIFANYIKE?
Mbali na kufuatilia ushauri wa wataalamu wa afya, ni muhimu kurekebisha lishe, kupunguza vyakula vya sukari nyingi, kuongeza mboga za majani, kunywa maji ya kutosha na kusaidia mwili kurejesha uwiano wa homoni.
Kwa wanawake wenye changamoto za cysts, PCOS, hedhi zisizo sawa na kutobalance kwa homoni, tunashauri kutumia CPE Natura-Ceutical kwa miezi 3 mfululizo.
FAIDA ZA CPE NATURA-CEUTICAL
β Husaidia kuimarisha uwiano wa homoni za uzazi
β Husaidia kuboresha mzunguko wa hedhi
β Husaidia kuimarisha afya ya ovari
β Husaidia kuboresha upevukaji wa mayai
β Husaidia kupunguza uvimbe ndani ya mwili
β Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa uzazi kwa ujumla
β Husaidia kuongeza nafasi ya kupata ujauzito kwa wenye changamoto zinazohusiana na homoni
BEI YA MATUMIZI
Dozi kamili ya miezi 3: Sh 552,000
Ukichukua kwa awamu:
β’ Mwezi 1: Sh 184,000
β’ Siku 15: Sh 92,000
Kwa maelezo zaidi au kuagiza, piga au WhatsApp: +255767716093
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Address
Dar Es Salaam