04/06/2023
Jipatie nakala yako leo ya gazeti la The Guardian ujifunze kuhusu Tanzanite na jiolojia yake. Makala hii imeandikwa na Mjiolojia Christopher Agapiti Christopher. Asante sana The Guardian kwa nafasi hii. Afrikagera Geological Center tunakuletea Jiosayansi mpaka mlangoni mwako🌏😊
Geological Survey of Tanzania UNESCO Dar Es Salaam Office ELIMU YA BIASHARA YA MADINI TANZANIA Wizara ya Madini
12/02/2023
Bringing Geoscience to the Community #
12/10/2022
Congratulations....
It's some of Photos of New Graduate Geologists in 52 graduation from Udsm for 2022..
We wish all the best for the starting of new journey inn their proffessional career...
Bsc with Geology
Bsc in Geology
Bsc in engineering geology
Bsc in petroleum geology
07/09/2022
Students of Geology at Chimala during their field time #
@UDSM August2022 #
31/12/2021
Happy new year to you all members ...May God bless that year to be the successful one.
30/05/2021
Home is sweet...you are welcome
14/05/2021
Tunawatakia skukuu njema geologist wote...wahenga wanasema..et kazi na dawa
09/05/2021
Maoni ya post graduate ...nanuku
Form six mnaojiandaa kwenda vyuoni, kuna hii kada inaitwa .
Ni moja ya matawi ya Sayansi za dunia ( ) ambapo dunia husomwa kwa kutumia sheria na kanuni za Fizikia (Physics).
? Geophysics hutumika kwenye tafiti za madini, maji chini (ground water), mafuta na gesi nakahalika. Umewahi jiuliza wanaotangaza mahali na muda tetemeko la ardhi lilipotokea wamejuaje? mtoto mpendwa wa geophysics.
Sasa unakuwaje ? K**a umepiga advance, nenda Shule ya Migodi na Sayansi za dunia (sijajua k**a ) wanayo hii kada, mwenye anajua aweza tujuza. Chuoni utatakiwa kutumia miaka minne (4) kupambana na misukosuko ya kutafuta na . Baada ya hapo utakuwa umefuzu kuitwa .
Ukisha pata kazi, utakuwa na uwezekano mkubwa wa kupanda ndege, meli na kutembea kwa miguu maana taarifa (data) za kijiofizikia hukusanywa ardhini kwa kutembea, angani kwa ndege (mfano gravity na magnetics), na kwa meli huko bahari kuu (taarifa za hifadhi kubwa ya gesi huko bahari kuu, upande wa zilitokana na tafiti za namna hii) .
**atafursa hiyo, maana ni kada changa hapa kwetu, na wigo wa matumizi yake unapanuka kwa kasi.
04/05/2021
With addition of new degree course..
1.bachelor of science in geophysics
2.bachelor of science in Geology and geothermal exploration
03/05/2021
Geologists at the COICT ground celebrating for their win 2021
02/05/2021
Geology Bonanza winners for 2021 are third years students..throne has been taken
21/04/2021
We are moving to......1may 2021...let's make Geology high #