31/08/2023
📌 PRE FORM ONE PROGRAM - 2023
🎯Baada ya kufanya maandalizi ya kutosha,sasa DIRISHA LA USAJILI - PRE FORM ONE LIMEFUNGULIWA RASMI.
⏲️PROGRAM ITAANZA RASMI 18-09-2023
🌍Masomo yatakayofundishwa ni BASIC MATHEMATICS, ENGLISH COURSE,SCIENCE SUBJECTS nk
💪WASILIANA NASI SASA KUFANYA USAJILI
📞☎️Mawasiliano 0782 483 646 au 0755 081 181
26/08/2023
📌MALENGO KUMALIZIA MWAKA 2023
Je, yale malengo uliyopanga Januari 2023 yamekwenda sawa!! 😊😊
Je, umeweka malengo gani kuumalizia mwaka 2023??
Karibu MAGNUS SEKONDARI tuufunge mwaka kwa zawadi ya mwanao PRE FORM ONE PROGRAM...Kuanzia tarehe 18-09-2023
HAKIKA HII SI YA KUKOSA
25/08/2023
💥PRE FORM ONE PROGRAM💥
📌 Maandalizi ni kitu muhimu hususani katika suala la Elimu...MAGNUS SEKONDARI inakuletea Program hii muhimu ambayo imeongezwa mafundisho muhimu yatakayomwezesha mwanafunzi kukabiliana na Elimu ya sekondari kwa ufanisi zaidi.
🎯 Wanafunzi wengi waliopitia program yetu wamekuwa Bora sana katika michepuo ya MASOMO YA SAYANSI,BIASHARA NA SANAA.
⏲️ Program hii itaanza tarehe 18-09-2023 na tayari dirisha la USAJILI LIMEFUNGULIWA.
WASILIANA NASI LEO:
EDUCATIO
📞☎️ 0755 081181 Calls/WhatsApp