TECNO_ttcc

TECNO_ttcc

Share

Karibu kwenye ukurasa rasmi wa vijana wa chuo TECNO

31/12/2025

Drop a comment on a student habit that should not cross over to 2026

Weka comment yako hapa kwa ni tabia gani haipaswi kuingia 2025 kutoka kwa wanafunzi wa chuo.

17/12/2025

Kwa matazamo wako
Je, chuo kinafundisha kupata alama nzuri au kuandaa kwa maisha ya baadaye? 🎓
Jitihada zako binafsi chuoni ni kwa ajili ya alama nzuri au maisha ya baadaye?

Shusha mawazo yak okwenye comment ili wengine wajifunze zaidi.

20/11/2025

Kuna vingi ungependa kujua kabla ya kujiunga na chuo, Wako wazoefu na wanaushauri mwingi basi uwanja huu wa hapa.
Andika comment yako ili na wengine wajue na wajifunze kabla ya kujiunga na chuo.

Photos from TECNO_ttcc's post 10/11/2025

Unadhani ni kitu gani kingine mwanachuo anapaswa kujua kabla ya kujiunga na mwaka wa masomo?

Share post hii na wengine ila wajifunze na wajiandae vyema.

Photos from TECNO_ttcc's post 18/10/2025

Wengi tunapenda kuona picha zilizotengenezwa kwa AI lakini hujui uanzie wapi kutengeneza picha yako.
Oky ni Simple sana na utajifunza na where we kutumia

1. Comment neno (TTCC)
2. Tag 5 friends
3. Follow page na kisha tutukuDM prompt hizi.

07/10/2025

Ni Feature gani ya unaitumia zaidi ya zingine?
Sanua na wengine waijue ili nao wafurahie ulimwengu wa kidigitali.

04/10/2025

Hakikisha wanajua jina lako kamili na sio vinginevyo.
Weekedn Njema.

30/09/2025

AI MASTERCLASS Iko kukusanua juu ya best prompts na namna unavyoweza kuzitumia kunufaisha kazi zako.

SIKU: Jumatano hii 01/10/2025
LOCATION: TTCC Tiktok Account
MUDA: Saa 4 asubuhi

Usikose, Share na Wana

06/09/2025

Here at TTCC, we learn and grow together. Thanks to Brother (Physiotherapist) whose goal is to link Technology with the Public Health for sharing his insight

05/09/2025

Ukiwa na ondoa shaka na wasiwasi wa kelele za barabarani au sokoni. Kwa kutumi noise cancellation unaweza kuwasiliana kwa wepesi bila kelele.


Video by:

30/08/2025

ya inanipa confidence maana najua haiwezi ingia maji. Tulienda Boat Riding nikahisi itaingia maji lakini wapi niliabisha maadui.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00