Ujuzi Institute

Ujuzi Institute

Share

When armed with the right skills and work values, individuals and people can achieve goals par excel

13/06/2023

Suluhu si katika nadharia tunazosoma katika vitabu bali katika uzoefu tunaouona mbele yetu duniani kote.

17/06/2022

Maisha ni rahisi:

• jua unachotaka
• kuwa na mpango wa kufanikisha
• fanyia kazi, siku baada ya siku

Unapofanya kwa muda wa kutosha,

Watu watasema "Duh! Jamaa ana bahati."

Kuwa

08/04/2021

Kuna tofauti kubwa kati ya Ujuzi na Ustadi.

05/03/2021

"Kuna njia nne,
njia nne tu,

Ambazo tunatumia kuwasiliana na ulimwengu (unaotuzunguka) Tunatathminiwa na kuainishwa ktk makundi kupitia mawasiliano hayo manne:
➡️ Tunachofanya,
➡️ Jinsi tunavyoonekana.
➡️ Tunachosema.
➡️ Jinsi tunavyosema.

-Dale Carnegie

Unataka kujua zaidi?

17/02/2021

Jambo unaamini ukiwa nalo
litakusogeza kufikia ndoto zako?

11/01/2021

Hi, guyz👋
Tunafikiri njia bora ya kurudisha kwa jamii kile ambacho tumekipata kwa jamii, yametujia mawazo mengi na tunaamini watu wa mwanzo kufaidi ni nyie ambao mliopo kwenye ukurasa huu, hivyo tunawapa nafasi nanyi mtoe mchango wenu wa mawazo na maoni pamoja na kujibu maswali yafuatayo:

➡️ Unafikiri Ujuzi Institute inafanya nini?

➡️ Je jambo gani unaamini Ujuzi inaweza kusaidia jamii au mtu mmoja mmoja?

➡️ Unatarajia nini mwaka 2021 na je Ujuzi inaweza kusaidia nini ktk malengo yako.

➡️Jambo gani gumu linalokuzuia hivyi sasa kuendelea kiuchumi, kitaaluma au kibiashara?

Wasilisha majibu kwa kuandika majibu kwenye comments hapa hapa!

04/10/2020

Watu ambao wanaweza kutulia na kuridhika wakati wakati wanapitia changamoto mbalimbali ndio wanaofanikiwa ktk maisha, watu wa aina hii ni wale ambao hutengeneza furaha na kujikubali wakati wanapokuwa ktk changamoto mbalimbali bila kukata tamaa.

Kufarijika hakumletei mshindi furaha.

Jifunze kupenda yale mambo yanayokusumbua, jifunze kupenda changamoto unazokabiliana nazo, jifunze kuvumilia vikwazo, maudhi mbalimbali ikiwa unataka kuwa mshindi na maisha ya mafanikio.

16/02/2020

Kujenga chapa (Brand) sio jambo gumu.

Kupata watu wanaovutiwa na chapa (Brand) yako ni jambo linalowezekana kabisa.

Kuwafanya watu waliovutiwa na chapa (Brand) yako kununua, hapa ndio kuna vita ya kweli na unapohitajika

Jambo muhimu ni kuwafanya wakuamini (Trust) ndio msingi wa mafanikio!

Jiulize unayo nguvu na uwezo wa kuvuka hatua hizi?

08/06/2019

Tanzania 🇹🇿

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Bibi T**i Mohammed,/Morogoro Juction
Dar Es Salaam
0000