π₯ HAKUNA PESA YA HARAKA MTAANI! KIZAAZAA KIMEANZA! π₯ CHINGA EPISODE 7
Kwenye Episode hii ya 7 mambo ni moto, na siri nzito zinaendelea kufichuka!
Je, msamaha unaweza kufuta maumivu ya kifo? Maximus anajikuta kwenye wakati mgumu sana anapokaa uso kwa uso na Mzee Chuma kuomba msamaha wa makosa yake ya zamani yaliyosababisha vifo kwenye familia. Je, Mzee Chuma atakubali yaishe?
π TAZAMA FULL EPISODE HAPA CHINI NA TUAMBIE KWENYE COMMENTS, USHAWAHI KUTAPELIWA NA HIZI ISHU ZA KUPANDA MBEGU? π
Salt Media.online
Salt Media is a Multi media Content production
Mambo ni moto kwenye Episode ya 6 ya CHINGA! π₯ Jane anapitia kipindi kigumu sana baada ya kunasa ujauzito, na cha kusikitisha... wanaume aliowategemea (Zuberi na Rashid) wamemruka kavukavu na kumuachia msala njiani! π
Je, nini kitatokea? Fuatilia mfululizo wa series hii hapa hapa kwa uhondo zaidi.
Bringing a grand vision to life takes more than just an idea it takes precision, coordination, and expert project management.
At Salt Media, we specialize in high end commercial and corporate video production. We bridge the gap between rich traditions and modern progress, taking your brand's blueprint and turning it into a cinematic reality.
Whether you need a massive commercial shoot, documentary, or corporate campaign, we oversee every single detail. We manage the process so you can celebrate the result.
π Ready to Be Bold? Contact us today to discuss your next project:
Phone: +255 743838553
Email: [email protected]
Hapa visingizio vyote vimegonga mwamba! ππ K**a unamjua mtu mtaani kwako anafanana tabia na huyu mzee, mtaje hapa aje ajionee! ππΎπ₯
Full inapatikana youtube .online
Mambo yamepamba moto kwenye Episode 5! π₯ Huku Mzee Chuma akitoa onyo zito la kiafya kwa vijana, Chinga anadaka mchongo wa mamilioni wa kuwauzia watalii vinyago. Lakini je, hili ni dili la kweli la kutoboa au ndio utapeli wa mjini? π€πΈ
Tazama mwanzo mwisho kujua kinachoendelea na tuachie comment yakoβunahisi Chinga atapigwa kwenye hili dili? π
Mambo ni π₯! Wakati wengine wanapiga kazi sokoni, kuna mtu anapigwa matukio kwenye simu π€£π. Itakuwaje? Chinga EP 4 imetoka, ifuatilie sasa youtube na facebook .online
Chinga katika ubora wake! Leo ameingia kwenye mtego wa panya bila kujua. π Huku kuna mambo ya 'pazia' na 'mvua ya ndani'.
K**a unataka kucheka mpaka basi, hii hapa ni kwa ajili yako! πΏπ¬
Umeachana na mitumba, umerudi kwenye nini tena? π
Mambo ya mtaani kwenye Episode 3 ya CHINGA yanaendelea!
Jamaa anasema maisha kuwa magumu ni "mabadiliko ya tabia nchi." Wewe unakubaliana na hili au ni vyuma tu vimekaza? Dondosha comment yako hapa chini tuone hali za mitaa mbalimbali!
Ukiwa huna hela mjini, hata salamu inaweza kuwa kosa! π₯π Chinga amekutana na kisanga cha mwakaβkushoto anadaiwa, kulia anazinguliwa. Kwenye hii mikasa ya uswahilini, mapenzi, na harakati za kuuza viatu, atatoboa kweli? Hebu jionee mwenyewe jinsi mambo yalivyopamba moto! ππΎββοΈπ¨
Usisahau ku-tag mshikaji wako ambaye mishe zake zinakumbana na vikwazo k**a hivi! π
The streets are definitely not safe for the weak! π€¦πΎββοΈπ¬ Kutoka kwenye kuvunja milango hadi kukabana mashati, CHINGA Episode 2 is serving nothing but pure chaos and comedy!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Telephone
Website
Address
12 Mashori Street Sinza
Dar Es Salaam
72742
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |