03/10/2025
Karibuni WAZAZI au WALEZI wote, kumpatia mwanao elimu bora, malezi na maadili bora kwa gharama ndogo. Shule ina mazingira mazuri ya kusoma mbali na hekaheka za mji, huduma za hostel kwa wale waishio mbali na Ukonga, Dar es Salaam..Ufaulu ni 100%
Wahi nafasi ni chache.. Tupigie 0716983131, 0684555956
.. WE LEAD!!
22/12/2024
You are most welcome!! 🤗🤗
12/12/2024
Je, bado unajiuliza ni wapi umpeleke mwanao akapate elimu bora, maadili mema, huduma nzuri katika mazingira yenye mvuto wa aina yake na kwa gharama nafuu? Usihangaike. Jibu ni Queen’s English Medium school. Wasiliana nasi leo kwa usajili wa mwaka 2025. Wahi sasa nafasi ni chache..
18/02/2018
Tunaandikisha watoto kuanzia miaka mitatu na kuendelea.. kwa darasa la awali na msingi tupigie 0625139430 au 0763069543..
Karibuni sana!
19/04/2017
Karibu Queens English Medium School, kwa elimu bora na sio bora elimu!
30/03/2017
Karibu umuandikishe mtoto wako! Tunatoa elimu ya awali na msingi hadi darasa la saba kwa lugha ya kiingereza. Mazingira tulivu ya kujifunzia, vitendea kazi, ada nafuu, walimu waliobobea na wenye mbinu za kisasa za kufundisha..ndilo tunalojivunia! Tunatoa mafunzo ya computer buree, huduma ya chakula na usafiri popote alipo mtoto Dsm,Wahi bado hujachelewa! Nafasi ni chache..
Tupigie 0717006643 /0719604156.
30/03/2017
In the course of pursuing excellence.....we lead!