15/12/2021
Matukio muchimu ya mahafari,watoto wetu
wakionyesha show nzuri ya fashion ya mavazi
mbele ya wazazi na wageni wetu,bado
hujachelewa udahili bado upo wazi
mpaka mwakani mlete mtoto
wako apate elimu bora.🤗
05/11/2021
WELCOME ADMISSION IS OPEN!
Welcome Good Faith Nursery and Primary School,
now we accept application for school
year 2022-2023,for children age 3-7,
we located at kinyerezi kichangani
Contact our office at +255755378470
and +255783254710.
06/10/2021
Ni furaha yetu kuona watoto wakifurahi
kuwa katika shule yetu,ni wakati wako
Sasa wakumleta mtoto wako apate Elimu
bora.
06/10/2021
Ni kawaida yetu huwa tunaanza na Mungu tuna maliza na Mungu kwenye kila jambo.
02/10/2021
Good faith nursery and primary school,masomo na burudani.